Manara atabiri jezi mpya ya Simba itakavyokuwa

Ngoja kwanza...leo tarehe ngapi??

Ile kesi ya morison ilihamishiwa mwezi wa ngapi?.
 
IMG-20210826-WA0046.jpg
 
D:D:D:D,,haaa,,,Manara bwege sana.jezi yetu ndo anaifanyia vituko namna hii,haaa,,nimecheka sana aisee!
 
Kimsingi Manara bado ana fikra za kizamani, anaamini maneno na chuki za mpira zinachangia katika kuimarisha timu.

Simba inaonekana dhahiri kuachana na utamaduni wa maneno! na imejikita zaidi katika kuboresha club na kuiendesha kitaalamu zaidi!

Kwa sasa maneno maneno hayana nafasi simba, na ndio mana hakuna anaye mjibu Manara vijimaneno vyake.

Anguko la ule usemaji wa aina ya kina Manara na Jerry naona ukififia taratibu, sabab timu zimejikita katika uendeshaji wa kitaalmu zaidi.
 
akiitwa zeruzeru tu mashabiki wake wanaanza kulia na moderators ,vilio vya uchungu hapo madai ya MZEE WA BANDARI hayajajibiwa hadi leo ila yeye bize kudai ajibiwe maswali yake
 
Back
Top Bottom