Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,718
- 13,426
Yeah, huu uzi umeutendea haki mkuu Averos, nimekubali.
Yeah, huu uzi umeutendea haki mkuu Averos, nimekubali.
Ulijibu kinyonge sana aisee!Ah nashukuru mkuu

Unashushia na Juice ya unga wa mahindi. Utafurahi mdauEwalawee
Upate na mkate wa unga wa bamia au kunde na mishakaki ya sisimizi
Pembeni yawepo maziwa ya kurosti utafurahiGuys, nimemiss Keki ya vitunguu saumu nishushie na Juice ya Pamba.
Hivi chipotle ni kitu gani mkuu na inatengenezwa vipiHii unaweza ongeza sauce ya Chipotle