magagagigikoko
Senior Member
- Nov 13, 2017
- 166
- 167
Kwa siku za karibuni mtandao wa Tigo umekuwa na matangazo mengi kupitia sms. Matangazo ya matumizi ya Tigo app na mengineyo. Lakini wanaenda mbali zaidi mpaka wakati mwingine kupiga simu kwa wateja kuwaeleza habari za kitu kinaitwa Tigo Bima.
Haya matangazo yao yanaboa sana. Msg zinaingia wakati mwingine mtu uko busy na kazi zako, unahisi ni msg ya maana, unakutana na msg ya Tigo app. Na haya mambo TCRA ilishayakemea, kwanini bado yanaendelea?!
Sent using Jamii Forums mobile app