Thank you for your advice.Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Ulichoandika , ni ujuaji tu na ni haramu mbele za Mungu kuhukumu watu kwa kumia ujuaji (holes &caves) . Ndio maana katika Uislamu kabla ya kuingia msikitini au kuswali ni lazima zisafishwe na kuzibuliwa (hizo Hisia) ili zisiingize mabalaa katika Mioyo ya WAISLAM
Muislam kamili kamwe hawezi kuhukumu MTU kwa ujuaji (Hisia) wake.
Umesema yaliyo mema Na ya kweli mengi katika komenti zako, nadhani hii umekengeuka!Ndugu, ili uweze kuwa na uhakika zaidi kuhusu Imani yako na unachokiabudu, ni muhimu sana kusoma vitabu viwili au kupata mafundisho ya vitabu vyote viwili na ya dini zingine (baadhi).
Kama ulikua huelewi, Kuna maandiko mengi sana ya Biblia kwenye Quran na pia kuna maandiko mengi ya Quran kwenye Biblia.
Waislamu ni dini pekee inayojitahidi kuyafuata mafundisho ya Biblia. ( Ni vigumu sana kuyaelewa haya, kwasababu siku zote Mungu hutumia vitu vyake kwa siri nzito) .... Wengi mnawaona Magaidi na mnauita uislam Ugaidi... Sio kweli,
Uislamu ni moja ya njia za kuelekea kwenye Ukristo , kama zilizoko baadhi ya dini zingine.
So ili uweze kupata mwili kamili wa Kristo, lazima uunganishe vipande vyote kutoka kila sehemu waliko gawiwa mitume na MANABII ili kupata mwili kamili wa Yesu aliowapa wakati wa chakula kalamu yake ya mwisho.
Lazima , uwe juu ya Dunia!
Ndugu, huu mstari hapa chini ni wa muhimu sana kuzingatia.ok.
asiyejua maana ya jambo lenye maana,hana maana
sawa ila kama unavyosema.mtu alieokoka tunatambuana kwa lugha moja,hata kama mtu ni wa uholanzi au russia,.kama kaokoka utamjua tu,.,.
najua umeelewa ila tatizo yamekuchoma.,nibora tuambiane ukweli tu,na kweli ifike mahali husika,.kama kukataa ukatae mwenyewe ukweli,.ila ukweli uujue na uuelewe.kuliko kujua upo sahihi ila uko wrong,totally wrong.
hata YESU alipoleta ile kweli,waliompinga ni watu wa dini waliokalilishwa bila kujua maana(wafarisayo na masadukayo)
sikushangai wewe kuupinga ukweli kwakuwa umekalilishwa dini tangu mdogo..
ila mkuu tunakumbushana kwa mema,.maana MUNGU anania njema na maisha yetu na buwakumbusha na kuwaonya anaowapenda..MUNGU anakupenda,.rudi kwenye mstari2 ndugu
ufunuo 3;19
Ndugu kuna tofauti kubwa sana kati ya kujua na kuelewa. Ujuaji ni dhambi, na hauwezi kamwe kumjenga MTU; Uelewa ni msingi pekee wa kumpa MTU Uhuru. Uelewa ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Ulichoandika , ni ujuaji tu na ni haramu mbele za Mungu kuhukumu watu kwa kumia ujuaji (holes &caves) . Ndio maana katika Uislamu kabla ya kuingia msikitini au kuswali ni lazima zisafishwe na kuzibuliwa (hizo Hisia) ili zisiingize mabalaa katika Mioyo ya WAISLAM
Muislam kamili kamwe hawezi kuhukumu MTU kwa ujuaji (Hisia) wake.
Mimi sipo hapa kubishana,.hapo kwenye red,.sijapinga,.ila Paulo Aliwachunguza na kuwafatilia,hakukulupuka2,.na kugundua kiukweli kuwa waongo hawamuubiri YESU,.akawa na ujasiri wa kuonya watu,.wewe je umeenda nigeria kuwachunguza,au umewafatilia na ukathibitisha wapo nje ya misingi ya MUNGU au umehukumu2??????kama ulifatilia its ok niwewe na good thing pia kutusaidia kuwajua ili tusipotee,.kama hujaenda then unawahukumu niwewe,..Ndugu, huelewi unachoandika. Ufalme wa Mungu una Mila, Tamaduni, Desturi, Lugha, watu, Serikali n.k
Hakika nakwambia kweli, Ukiutafuta Ufalme wake na Imani yake, .. Utajifunza lugha yake.
Ulichokiandika kwa hisia ni kizuri kutazama, lakini kwa uhalisia hakina maana yeyote ; Mimi sielewi lugha ya kiarabu, lakini nayajua maandishi ya kiarabu;
Hivyo, ninaweza kuandika hapa maandishi ya kiarabu, watu wakanisifia sana kwamba najua kiarabu , but wenye lugha yao wakisoma , wanaona umeandika matusi , kufuru, kejeli, Uovu, broken, .. kutukana watu pasipo kuelewa. Kumbuka, hayo uyafanyao ni dhambi.
Mfano , umeandika kuhusu watu wa mataifa, je hawa ni watu gani? Umeandika Huwezi kuhukumu watu wa Mungu - ni kweli, lakini jiulize, upo katika hatua gani ya Imani yako?
Biblia imeweka wazi kwamba, ukisimama vyema , itafika kipindi hutafundishwa na MTU yeyote kwasababu ukweli utakua ndani yako; Je umewahi kufikia kipindi hicho? So unataka kusema wewe maisha yako yote utakuwa unakwenda kanisani mpaka uzeeni/ kifo? Ukimaanisha sawa na kufanya Kazi kwenye kampuni au serikalini bila promotion..., ? You cant be serious!
Unafikiri kwanini wakina Paulo walikuwa wanahukumu watu tena kwa kuwataja majina wakati wakiwafundisha watu wao kwamba " Msifuate mafundisho ya Fulani, ni muongo " ; Au Haya yote unayasoma kama gazeti?
Hatua za kuelewa Ukuu wa Mungu katika Kristo Yesu ni Hizi
1. Kumfuata 2. Kumuhofu 3. Kumpenda 4. Kumuabudu
Kila moja ina utukufu wake na mapito yake. Huwezi kamwe kuwa namba moja halafu ukayaelewa ya namba 2 au uko namba 2 ukayaelewa ya namba 3 ; Mungu anaishi kwenye namba 3 na 4.
Jiulize upo namba ngapi? Na kwa Uelewa wako , katika namba hizo, MTU wa mataifa anakuwa namba ngapi...,
Ni vigumu sana kuelewa Haya;
Kiufupi, Mungu kaficha siri zake kwa wanaojifunza na wenye Hekima lakini kaziweka wazi kwa watoto wadogo ili Jina lake litukuzwe.
Amini nakwambia kweli, ukiruhusu Moyo wako ukapata Uelewa mdogo kama robo ya punje ya Mchele ni Furaha kubwa sana mbele za Mungu.Thank you for your advice.
Nakubaliana na baadhi ya maneno yako haya lakini sio yote.
Enzi hizi hakuna Nabii (kufuatana na Quran na Biblia).
mkuu asante sana hapo umenielewesha tofauti ya mtume na nabii,nashukuru kwa kuniongezea uelewa aiseendugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
(Sisi Waislamu) ..Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake.Umesema yaliyo mema Na ya kweli mengi katika komenti zako, nadhani hii umekengeuka!
Kamwe huwezi sema nikitaka kujua juu ya imani yangu nisome vitabu vingi juu ya imani ambazo hazijengi imani yangu!
Dini ni Imani, imejengwa katka Kuwa Na imani Na kitu ambacho hujakiona dhahiri. Huwezi niambia ili nijengeke katika imani yangu yanipasa nijue juu ya imani nyingine! haipo hiyo. Kuifanya hivyo utayumba ktk kile anachokiamini.
Yani nikiraka kuimarisha ukristo wangu nisome Qukan kitabu ambacho kwa imani yangu hakikujengwa juu ya misingi ya imani yangu?
Tusichanganye mambo ya revield knowledge kwa kutaka upatanisho wake Na absolute knowledge!
Imani hujengwa kwa kutafuta maarifa yaliyo juu ya imani yako Na sio opposite yake!
Suala kubwa hapa la kujiuliza, ni Imani ni nini? dini ni nini? Kipi kati ya hivyo ni zawadi kutoka kwa Mungu? Je kila imani au dini , vinatoka kwa Mungu?Umesema yaliyo mema Na ya kweli mengi katika komenti zako, nadhani hii umekengeuka!
Kamwe huwezi sema nikitaka kujua juu ya imani yangu nisome vitabu vingi juu ya imani ambazo hazijengi imani yangu!
Dini ni Imani, imejengwa katka Kuwa Na imani Na kitu ambacho hujakiona dhahiri. Huwezi niambia ili nijengeke katika imani yangu yanipasa nijue juu ya imani nyingine! haipo hiyo. Kuifanya hivyo utayumba ktk kile anachokiamini.
Yani nikiraka kuimarisha ukristo wangu nisome Qukan kitabu ambacho kwa imani yangu hakikujengwa juu ya misingi ya imani yangu?
Tusichanganye mambo ya revield knowledge kwa kutaka upatanisho wake Na absolute knowledge!
Imani hujengwa kwa kutafuta maarifa yaliyo juu ya imani yako Na sio opposite yake!
(Sisi Waislamu) ..Tumeyaamini yaliyo teremshwa kwetu na yaliyo teremshwa kwenu. Na Mungu wetu na Mungu wenu ni Mmoja. Na sisi ni wenye kusilimu kwake.
Quran 29:46
Na Mimi nakuuliza , Kati ya Mbingu na Dunia , kipi kilianza kuumbwa?Inawezekana vipi ukawa Na uelewa pasi kujua awali?
Maandiko yanasema mahali pengi "Yesu alijua juu ya kifo chake....." haikuandikwa "Yesu alielewa juu...." hivyo kwa maana yako Yesu walitenda dhambi "alipojua" Kuwa Petro atamkana mara tatu?
Ndugu zangu NENO la MUNGU NI UZIMA, linauhai ndani yake, tusijaribu kuliua kwa uelewa wetu kutokana Na elimu za darasani!
What is the difference between Rasool (mtume) and Nabi ?ndugu kwa uelewa wangu mdogo tu..
chakwanza nabii lazima uwe unaamini katika YESU KRISTO ,na uokoke,udumu katika uaminifu effectively
nabii ni moja ya karama za rohoni,.ambapo pia mitume,nabii, walimu.
nabii huwa MUNGU anamchagua kutoka kanisani na kumpa mafunuo/kumuonyesha mambo yahusuyo kazi ya MUNGU ili kujenga kanisa katika habari ya mambo ya rohoni
1wakorintho 14;12
kazi kubwa ni kujenga kanisa,kanisa lisonge mbele kwa kupewa mafunuo na MUNGU direct kuhusu habari ya kazi yake(kanisa),.unabii huwez kusomea mkuu kwa elimu ya kidunia,never,.ni utasoma tu katika biblia kama sisi tunavyosoma kujua karama za roho zikoje,.ilhali kwa habari ya elimu za duniani unabii huwez kusomea darasani.
nabii hupewa maono kwa ajili ya kujenga kanisa,.mtume hufanya kazi ya kusambaza na kutangaza neno na habari za MUNGU kila kona watu waokoke,.katika kanisa lazima kuwe na watu wenye karama za rohoni ili wapewe mafunuo na kufanya kaz ya MUNGUisonge..So ukidumu kanisani na MUNGU akakuona unamoyo wa Uaminifu hata kufa,.anakutumia kwa kazi yake effectively.
ndugu ukisimama njia sahihi ya MUNGU,.Mungu anakutumia aonavyo yeye ni sahihi kutokanana upendo wako kwake,.
Imani ni nini? Kwanini Mashoga au Magaidi au Majambazi wanakuwa wepesi kuelewa wanachokifanya?Mahmood
Hapo ndio tunapotofautiana kaka. Sisi hatuamini katika Yale ninyi mnayoyaamini!
Tunataratibu zetu, Mungu wetu ni wa utatu mtakatifu, Je ninyi mnalikubali hili? Lah!
Kamwe narudia kamwe huwezi kutumia Quran katika kujustfy NENO.lolote katika Biblia. Tunaamini katika kusamehe ninyi katika kulipiza ni haki!
Hakuna uhusiano wa kiimani Kati yetu kwa MTU aliyeshika sawasawa imani yake. Huwezi Mueleza Muislam swafi Kuwa anaamini katika imani ya kikristo! Never! Na hivyo hivyo kwa wakristo!
Ila ni sisi ambao labda tunakaeli dunia tunajaribu kujenga upatanisho ktk dini mbili hizi. Uislam Na Ukristo ni vitu viwili tofauti. ni sawa dunia Na.mbinguni, nyeusi Na nyeusi! kamwe si kitu kimoja!
Tuendelee kuheshimiana kwa "imani" maana kila kitu anachoamini MTU ktk imani yake ni sawa, hatuna haja ya kutofautiana Na kulazimishana Kuwa dini flani ni Bora zaidi ya nyingine.
Shika sana ulichonacho Mkuu, usiruhusu MTU kukutoa ktk imani yako. Lakini kama utajitafutia maarifa Na ukagungua kwa hiari yako Kuwa upo katika wrong tracks using'ang'ania kubaki ulipo. HAMA. Hiii ni kwa wote. sio kwa wakristo au waislam tu!
Naona umeanza kupata motto, Na mie siwezi kubishana juu ya Neno lenye UZIMA. Hujajibu swali unauliza swahi!Na Mimi nakuuliza , Kati ya Mbingu na Dunia , kipi kilianza kuumbwa?
Au kwa maana nyingine, Kati ya "Maandiko" kama hayo uliyoya quote kuhusu Yesu na "Maneno" kipi kinaanza kuumbwa?
Au Kati ya Hisia na Uhalisia, kipi kinaanza kuumbwa?
Au kati ya Mwanamme na Mwanamke , nani alianza kuumbwa?
Kwanini una quote vitu bila kuvielewa undani wake kisha unaniita mpotoshaji?
Amini nakwambia kweli, ukisoma maandiko na kuyakariri bila kuyaelewa undani wake, utakuwa sawa na gaidi au shoga.
Neno la Mungu ni nini? Andiko ni nini?
ok ni jambo zuri kuzidi kuufahamu msimamo wako wa ndani ya moyo wako,.tupo hapa sikubishana na kukejeliana bali tunasaidiana na kuelekezana namna zitupasazo ili tusiikose mbingu..Ndugu, Kuna kitu kikubwa sana mmepotoshwa na hao wahubiri wa makanisa Yenu.
Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.
ok sawa ndugu,.nashukuru kwa fundisho lako ndugu,..ila hayo unayoyasema ni mambo umeyatoa katika bibvlia au umeyatoa akilini mwako,au ndo mapokeo mnayofundishwa kanisani catholics?????Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.
nasisi tuliokoka najua tunadharaulika nisahihi sana,.ila unafikiri kwanini YESU alidharauliwa msalabani?na hadi wakamtemea mate????????ni ule ukweli aliowaambia watu washika dini,nawakaona ni kama hadithi za ajabu2,vitu vya ajabu,......soma mathayo 24 uone ndugu......Ndugu, huu mstari hapa chini ni wa muhimu sana kuzingatia.
Jiulize, Unasomaje Biblia? Unazielewaje Amri? Sheria? Shuruti? Sanamu? n.k Tizama swali hili hapa chini Yesu alilomuuliza MWALIMU wa Sheria.....ambae nia yake alitaka kujikweza mbele za watu (kumchalange Yesu Kristo)
#Luke 10:26 "What is written in the Law?" He replied. "How do you read it?"
Ndugu, Kuna kitu kikubwa sana mmepotoshwa na hao wahubiri wa makanisa Yenu.
Mnaambiwa huko kwamba MTU ukienda leo kanisani ukaombewa na kumkiri Yesu Kristo hapo hapo tayari unakuwa umeokoka..., Haya ni makosa makubwa sana. Na ni uongo mkubwa sana.
Kuokoka au Wokovu ni hatua ya Tatu katika njia ya Msalaba. MTU aliyeokoka ni zaidi ya Waziri au Waziri Mkuu wa Serikali ya Tanzania , sasa jiulize katika ufalme wa Mungu huyo MTU ni wa namna gani? ;
Kiufupi Ni Cheo kikubwa sana. Sio cha siku moja kama mnavyokaririshwa na kudanganywa.
Ndio maana Watu wanaojiita wameokoka wanadharauliwa sana kutokana na kuishi kinafki, kizinzi , uongo , ujuaji na wengi mara nyingi wanakuwa makanisani kuangamiza watu.
Kuna Wafuasi wa Kristo, Wanafunzi wa Kristo na Wakristo; Hapa pia hamtofautishi! Kila MTU mnamuita Mkristo,..
Kumbuka, mitume walianza kuitwa Wakristo pale Antiokia... , unaelewa kwanini? Kiufupi MTU aliyeokoka sawa sawa ndio tunamuita mkristo. ( kutembea kama Yesu, kula, kuvaa n.k) : Ni makosa sana kumuita mfuasi au mwanafunzi wa Kristo - Mkristo.
Ndugu, kuna tofauti kubwa sana kati ya NIA na DHAMIRA. Nia ni mzizi wa dhambi , bali Dhamira ni msingi wa imani katika Kristo Yesu.
Nia ni zawadi kutoka kwa shetani, wakati , Dhamira ni zawadi kutoka kwa Mungu. A clear Conscience ( Dhamira)
Naona unaandika vitu vingi sana bila kuelewa unaandika nini..., ni makosa makubwa unafanya. Kuwa humble, kuwa gentle ,.... Mungu hapendezwi na pride. Kujua andiko ni tofauti na kuliewa andiko.
Ujuaji haujengi, Uelewa unajenga. Jitahidi kuwa mtiifu, .. Na Mungu atakupa au kukuletea watu wake wa kukufungua macho.
Tazama hapa Philipo alivyokutana na Muethiopia msomi ambae alikuwa haelewi anayoyasoma..., ukiwa mtiifu mbele za Mungu , atakupa Uelewa..
#Acts 8:30-31,"Then Philip ran up to the chariot and heard the man reading Isaiah the prophet. “Do you understand what you are reading?” Philip asked. “How can I,” he said, “unless someone explains it to me?” So he invited Philip to come up and sit with him."
Sasa naona umeanza #Siasa. Naona pia huelewi hata maana ya #RohoMtakatifu.Mimi sipo hapa kubishana,.hapo kwenye red,.sijapinga,.ila Paulo Aliwachunguza na kuwafatilia,hakukulupuka2,.na kugundua kiukweli kuwa waongo hawamuubiri YESU,.akawa na ujasiri wa kuonya watu,.wewe je umeenda nigeria kuwachunguza,au umewafatilia na ukathibitisha wapo nje ya misingi ya MUNGU au umehukumu2??????kama ulifatilia its ok niwewe na good thing pia kutusaidia kuwajua ili tusipotee,.kama hujaenda then unawahukumu niwewe,..
kuna bandiko lako1 umemtaja shigongo,ma mc flani hapA dar na picha zao kuwa anadanganya,.nilini shigongo akaanza kuhubiri neno la MUNGU??????????Mtunga hadithi za kuwashawishi watu wapotee ktk uasherati.
kama unajiona wewe ni bora kuliko maandiko ,namimi nimepotea kwa kufata maandiko unasema nimepotea,kisa nimetoa evidence zangu binafsi.haha its ok,..biblia tuliletewa tuliookoka
ukweli uko wazi,.na ntasimama kulitetea jina la YESU na kusisitiza ubatizo wa maji mengi na kumkiri YESU kwakinywa chako,.sio mapokeo,.
the rest kama ntakuboa ukweli ndo huo........ila sipo hapa kutoleana kejeli au kukashifiana.
injili ya YESU isonge mbele,.wewe endelea kupingana na neno la MUNGU, niwewe na nafsi yako ndugu,.kila goti litapigwa(wewe binafsi utasimama mbele za YESU),
LABDA NIKUULIZE,TheMeek UMEMKIRI YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO?????
UMEBATIZWA KWA MAJI MENGI????????
unaamini kuwa YESU NI MUNGU????????
have nice flow ndugu...........
am waiting tu conclude.......
Kwenye Biblia Pia Mohammed katajwa zaidi ya mara moja.Suala kubwa hapa la kujiuliza, ni Imani ni nini? dini ni nini? Kipi kati ya hivyo ni zawadi kutoka kwa Mungu? Je kila imani au dini , vinatoka kwa Mungu?
Unafikiri kwanini Yesu Kristo aliweza kukabiliana na watu wa imani zote? Na karibu imani zote lazima zimtaje! Kwanini Mtume Muhammad hayumo kwenye Biblia?
Je unaelewa Biblia ilipatikanaje?
Ndugu, Kiufupi, Yesu Kristo yeye pia alikua akisoma vitabu vya MANABII na watu wengi wa Mungu, ..mfano Musa, Abrahamu, Elijah , Solomoni , Isaya n.k ndio maana unaweza kuona alikuwa akifundisha kwa kukumbushia baadhi ya maandiko yao
Yeye aligundua madhaifu ya kila mmoja wao, na akaamua kuipitia njia ya Msalaba kwa namna ya ajabu. Wengine wote walishindwa kufikia cheo cha "Kristo" , yeye akaweza.
Ndio maana katika Agano jipya... Hakuna mahala utaona Yesu Kristo alicheza mziki , akagalagala kama wakina Daudi , au kuchekacheka..., He was serious doing His Father's Business!
SIRI ILIYOFICHIKA.
Biblia ni kama Hesabu. Ina mtaka MTU aliyeitwa aishi kama yalivyo maneno yake. Na Yule aliyetumwa , afanye na kutenda kama maneno yake yalivyo. Naongelea maneno sio maandiko ( usichanganye hapa) ... I mean , mfano 1+1=2
Hapo hutakiwi kuzidisha au kuongeza maneno; Watu wengi waliotumwa hushindiwa hapa kutokana na Kazi ya Ulimi .Wengi huongeza maneno yao ili kupata sifa au umaarufu kutoka kwa watu, ...
Soma; Revelation 22:18-19
18 For I testify unto every man that heareth the words of the prophecy of this book, If any man shall add unto these things, God shall add unto him the plagues that are written in this book:
19 And if any man shall take away from the words of the book of this prophecy, God shall take away his part out of the book of life, and out of the holy city, and from the things which are written in this book."
yaani ni sahihi kabisa ndugu.hasa huwa mbaya pale mtu anapoamua kuacha neno la MUNGU halisi na kutumia akili binafsi na kuaminisha kuwa kuwa biblia wameletewa malaika.........Inawezekana vipi ukawa Na uelewa pasi kujua awali?
Maandiko yanasema mahali pengi "Yesu alijua juu ya kifo chake....." haikuandikwa "Yesu alielewa juu...." hivyo kwa maana yako Yesu walitenda dhambi "alipojua" Kuwa Petro atamkana mara tatu?
Ndugu zangu NENO la MUNGU NI UZIMA, linauhai ndani yake, tusijaribu kuliua kwa uelewa wetu kutokana Na elimu za darasani!
Mungu ni Mmoja tu.Mahmood