Kwenye Yohana 5:30Yesu Kristo sio mtume wala Nabii. Ni Mungu
Je, umewahi kujiuliza, kama Yesu asingekufa msalabani , Je kungekuwa na ukristo?Ni lazima iandikwe Mkuu kwa imani ya kikristo! Huwezi ukajitungia tu Jambo ikasema.ni la kweli kwa Kuwa haikuandikwa katika Biblia!
Kwa imani ya kiislam Mohamed (SWA) kweli alikuwa Mtume, lakini kwa Mkristo hakuna Mtume aliyewahi tokea mwenye ubini au jina hilo. Hapa ndipo tofauti za dini mbili hizi umeanzia!
Ukristo umeanza baada ya Yesu Kufufuka, laiti kama asingefufuka labda ukristo usingekuwepo!
Lakini waislam kupitia kitabu Chao kitakatifu wanamtambua Yesu, Na ameandikwa kwa jina lake! Ndio maana nikakwambia Ukristo upo ndani ya Uislam lakini Uislam haupo ndani ya ukristo!
Maana yake nini?Kwenye Yohana 5:30
Yesu anasema;
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Mungu, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule aliyenituma."
Nipe aya moja tu ya Biblia ambayo Yesu mwenyewe anasema mimi ni Mungu niabuduni.Nakubali %100. Je kama dini hizi ni moja, waislam wanàamini katika hili?
Nipe aya moja tu ya Biblia ambayo Yesu mwenyewe anasema mimi ni Mungu niabuduni.Yesu Kristo sio mtume wala Nabii. Ni Mungu
Mungu ameshusha vitabu kwa njia ya Mitume ili watu wavisome na kuvifahamu.Mambo ya Mungu sio kama ya Shuleni /Darasani. Huwezi kamwe kufanya RESEARCH then Ukamuelewa Mungu. Hayuko hivyo yeye.
Kaweka wazi kwamba " Ameficha siri zake kwa wenye Hekima na wanaojifunza , na kaziweka wazi kwa watoto wadogo" Je unaelewa maana yake?
Amini nakwambia kweli, ukiielewa siri iliyopo hapa,... Utakuwa umekaribia kuzielewa siri za Mungu.Nipe aya moja tu ya Biblia ambayo Yesu mwenyewe anasema mimi ni Mungu niabuduni.
Hakuna hata aya moja inayo sema hivyo.
Lakini kuna aya nyingi tu za Biblia Yesu anasema "mimi mtu nimetumwa na Mungu wa pekee" .
Nimeandika Kiswahili, sio Kichina bro.Maana yake nini?
Vijana wengi sana wanapotea kwenye mataifa mengi kwasababu ya uoni hafifu.Nimeandika Kiswahili, sio Kichina bro.
Maana yake ni
Kwenye Yohana 5:30
Yesu anasema;
"Mimi siwezi kufanya kitu kwa uwezo wangu mwenyewe. Mimi nina hukumu kama ninavyosikia kutoka kwa Mungu, nayo hukumu yangu ni ya haki. Nia yangu si kufanya nipendavyo mwenyewe, bali apendavyo yule aliyenituma."
Enyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Yesu mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha. (Quran 4:171)Amini nakwambia kweli, ukiielewa siri iliyopo hapa,... Utakuwa umekaribia kuzielewa siri za Mungu.
"Kwanini Biblia nzima hakuna mahala wameandika " Blind Woman" .. Lakini imewataja sana "Blind Men" do you understand the reason?
Na kama huelewi, basi nitajie hatua za kutawadha kabla hujaingia msikitini/ kuswali
Taja kwa mpangilio , kiungo kimoja baada ya kingine; Je unaelewa undani wake? Au hua unanawa tu?
Nakwambia kweli Haya yote yapo kwenye njia ya Msalaba; Hapa mtume Muhammad aliipitia njia ya Msalaba.
Yeye kuwaambia Wafuasi wake wa Uislamu kuwa Yesu Kristo ni Mtume , ni sawa sawa tu na wakati baadhi ya mitume aliokuwa nao Yesu kumuita Nabii, ; wengine walimkana na kumsaliti kabisa licha ya kushuhudia ukuu wa Matendo yake.
Nasubiri jibu...,
YESU KRISTO HAKIKA NI MUNGU ; TIZAMA MAFUMBO HAYA HAPA CHINIEnyi Watu wa Kitabu! Msipite kiasi katika dini yenu, wala msimseme Mwenyezi Mungu ila kwa lilio kweli. Hakika Masihi Yesu mwana wa Maryamu ni Mtume wa Mwenyezi Mungu, na neno lake tu alilo mpelekea Maryamu, na ni roho iliyo toka kwake. Basi Muaminini Mwenyezi Mungu na Mitume wake. Wala msiseme: Utatu. Komeni! Itakuwa kheri kwenu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mungu mmoja tu. Ametukuka Yeye na kuwa na mwana. Ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu ni Mtegemewa wa kutosha. (Quran 4:171)
Kwa hakika wamekufuru walio sema: Mwenyezi Mungu ni wa tatu wa Utatu. Hali hakuna mungu ila Mungu Mmoja. Na ikiwa hawaachi hayo wanayo yasema, kwa yakini itawakamata adhabu chungu wale wanao kufuru. (Quran 5:73)
-------------------------------------------
Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi tusimuabudu yeyote ila Mungu..
-----------------------------------------------
Salamu na amani iwe juu ya mwenyekufuata uongofu.
Ndugu zangu wapendwa,
Tafadhali someni aya hizi kisha tafakarini,
Biblia inasema ...wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli,nakumfahamu Yesu Kristo ambaye umemtuma. (Yohana17:3)
Hapa tunaona kwamba Yesu katumwa na Mungu wa Pekee.
Mungu (Mungu ni Mmoja tu, Mungu wa pekee),
soma aya hizi,;
Biblia inasema , Yeye peke yake anaishi milele katika mwanga usioweza kukaribiwa na mtu. Hakuna mtu aliyepata kumwona au awezaye kumwona. Kwake iwe heshima na uwezo wa milele! Amina. (1 Timotheo 6:16)
--------------------------------------------
Quran Inasema, Macho hayamfikilii bali Yeye anayafikilia macho. Naye ni Mjuzi, Mwenye khabari. (Quran 6:103)
Quran Inasema, Mwenyezi Mungu, hakuna mungu ila Yeye Aliye Hai, Msimamizi wa yote milele. (Quran 3:2)
Quran Inasema, Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima. (Quran 3:6)
Quran Inasema, Mwenyezi Mungu, na Malaika, na wenye ilimu, wameshuhudia kuwa hakika hapana mungu ila Yeye, ndiye Mwenye kusimamisha uadilifu; hapana mungu ila Yeye Mwenye nguvu na Mwenye hikima. (Quran 3:18)
Quran inasema, Sema: Enyi Watu wa Kitabu! Njooni kwenye neno lilio sawa baina yetu na nyinyi: Ya kwamba tusimuabudu yeyote ila Mwenyezi Mungu, wala tusimshirikishe na chochote; wala tusifanyane sisi kwa sisi kuwa Mabwana badala ya Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka basi semeni: Shuhudi- eni ya kwamba sisi ni Waislamu. (Quran 3:64)
Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe (yaani unatwambia tusiamini maneno ya Yesu? Au vipi?)Vijana wengi sana wanapotea kwenye mataifa mengi kwasababu ya uoni hafifu.
Wanaona Kazi sana kufikiria mambo., hivyo wanabaki kuamini katika kila mapokeo bila kuyatafakari. Hii inawafanya kukosa lengo , mantinki au picha kamili iliyomo ndani ya mapokeo hayo.
Hayo ni matamshi ya Yesu Kristo au kwa maana nyingine ni maandiko yake. Muhimu ni kuelewa kilichomo ndani ya matamshi hayo.Haya ni maneno ya Yesu mwenyewe (yaani unatwambia tusiamini maneno ya Yesu? Au vipi?)
Kuna dini ya Mungu na dini za watu (dini walizozianzisha wao wenyewe wanadamu).Yes, DINI ZA WATU. Nimependa jibu hili japokuwa liko pregnant. Tafadhali, fafanua watu wengine nao pia waelewe/ wajue