The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Hii nimekutana nayo kwenye mtandao mchungaji mmoja huko nchini Zambia amegundua njia mpya ya kuwaombea waumini wake hususani wanawake wanaosumbuliwa na tatizo la kuzaa kwa kuwaamrisha kuvua nguo zao za ndani mbele ya waumini wenzao madhabauni na mchungaji huyo kuziombea kwa kuzishika sehemu ya mbele panapo funika papuchi(kitumbua/mpopo/kipochi manyoya) na kuziombea kisha waumini cha kushangaza hakuna muumini hata mmoja aliye bahatika kupata ujauzito.mbinu hii imekuja baada ya awali aliyokua akitumia kupingwa vikwali na jeshi la polisi la nchi mwanzo alikua anawaamuru wanawake wanyoe nywele zao za sehemu za siri na kuziweka katika vitambaa vyeupe na kuja nazo kanisani kisha anaingia sekastia na muumini mmoja kwa kumuombea na kusugua uume wake juu ya kitumbua cha muumini.