Manabii wa ajabu watokea KKKT Tabata

Manabii wa ajabu watokea KKKT Tabata

Soko landombolo limebana sasa wanaingia makanisani
Jamani mimi nimeleta hii mada mwenye kuomba na aombe si unajua wengine hatuna dini ila tunaishi kwa kusaidiana mawazo na mambo mengine.Ni vyema tukawa makini na kuombeana nia ni kurekebisha madhaifu yetu.
 
Wanaongezeka sababu wajinga wenye imani hizo wengi na hawataki kubadilika.
Sijakuelewa kidogo mkuu.Unamaanisha welevu ni wale wanaoenda kwa toboa tobo na kuuza viungo vya albino?
 
Huko KKKT Tabata wametokea manabii na watabiri hatari kidogo.Maombi yao yamejaa ukakasi kuna saa wanaombea watu utupu na kuna saa wanapiga watu hadi pepo zitoke.Kuna mafunuo ya kutisha kiasi cha kutilia hofu kwamba yanatoka kwa Mungu au shetwani.Haya nimeyapata kwa mtu aliyekumbana na hiyo zahama siku kadhaa zilizopita.
Kaliwa huyo......................
 
Huko KKKT Tabata wametokea manabii na watabiri hatari kidogo.Maombi yao yamejaa ukakasi kuna saa wanaombea watu utupu na kuna saa wanapiga watu hadi pepo zitoke.Kuna mafunuo ya kutisha kiasi cha kutilia hofu kwamba yanatoka kwa Mungu au shetwani.Haya nimeyapata kwa mtu aliyekumbana na hiyo zahama siku kadhaa zilizopita.

Huu ni ukanjanja JF,watu wa aia yako wanaopata gossip vichochoroni na kuja hapa kujifanya wanaleta credible info ni hatari sana kwa jamii.Mimi ni Msharika wa Kimanga na nimewashuhudia hao watumishi wa Mungu unaowaita Wakongo akina Pastor Bwanga na Pastor Richard.Wamefanya huduma kwa mafanikio sana na kanisa limeweza kupata waumini zaidi kupitia ministry yao hata jana tu Jumapili kuna watu wanne wamebatizwa kutoka madhehebu na dini tofauti.

Tuhuma za kusali uchi ni u.puuzi wa watu toka katika huduma ambazo kwazo waumini wamehama na kujiunga na kanisa la KKKT na tuhuma za kupigwa ni uzushi usistahili chembe ya attention.Nimebahatika kuhudhuria semina za ndani zilizoisha last 2 weeks na zilikuwa na mafanikio makubwa kwani watu wameokoka,mapepo yametolewa vifungo vimevunjwa na waumini wamefaidika sana kiroho.
 
Kumbe ulitakiwa kwanza kuwauliza waumini wakujulishe utaratibu wa kutambulisha makanisa yao ni upi,
hapa ulitakiwa kusema ''kkkt tabata kimanga'' hapa nadhani usingeleta mkanganyiko kwa Malila na Gfsonwin ambao ni waumini wa KKKT Tabata kuu,kanisa hili lina heshima zake na hivyo tuwe makini tunapotoa taarifa muhimu kama hii.
Hata hivyo namshukuru mleta uzi wote tunaufanyia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni ukanjanja JF,watu wa aia yako wanaopata gossip vichochoroni na kuja hapa kujifanya wanaleta credible info ni hatari sana kwa jamii.Mimi ni Msharika wa Kimanga na nimewashuhudia hao watumishi wa Mungu unaowaita Wakongo akina Pastor Bwanga na Pastor Richard.Wamefanya huduma kwa mafanikio sana na kanisa limeweza kupata waumini zaidi kupitia ministry yao hata jana tu Jumapili kuna watu wanne wamebatizwa kutoka madhehebu na dini tofauti.

Tuhuma za kusali uchi ni u.puuzi wa watu toka katika huduma ambazo kwazo waumini wamehama na kujiunga na kanisa la KKKT na tuhuma za kupigwa ni uzushi usistahili chembe ya attention.Nimebahatika kuhudhuria semina za ndani zilizoisha last 2 weeks na zilikuwa na mafanikio makubwa kwani watu wameokoka,mapepo yametolewa vifungo vimevunjwa na waumini wamefaidika sana kiroho.
Sijasema wanasali uchi kuna mtu alombewa kwenye chumba cha maombezi akajivua nguo huyo mkongo akasema mwacheni akavua zote ndipo akatokwa na hicho unachokiita pepo!!je ni wapi yesu alifanya hivyo?huo ufunuo ni wa Mungu!!?Je ni wapi biblia inalazimisha uchumba?Mathayo 24:24.je mke mwema au mume anatoka kwa Mungu au kwa mchungaji au mtumishi?Nina mengi tu sema 6ki kuyasema kwa heshima ya dini.
 
Huu ni ukanjanja JF,watu wa aia yako wanaopata gossip vichochoroni na kuja hapa kujifanya wanaleta credible info ni hatari sana kwa jamii.Mimi ni Msharika wa Kimanga na nimewashuhudia hao watumishi wa Mungu unaowaita Wakongo akina Pastor Bwanga na Pastor Richard.Wamefanya huduma kwa mafanikio sana na kanisa limeweza kupata waumini zaidi kupitia ministry yao hata jana tu Jumapili kuna watu wanne wamebatizwa kutoka madhehebu na dini tofauti.

Tuhuma za kusali uchi ni u.puuzi wa watu toka katika huduma ambazo kwazo waumini wamehama na kujiunga na kanisa la KKKT na tuhuma za kupigwa ni uzushi usistahili chembe ya attention.Nimebahatika kuhudhuria semina za ndani zilizoisha last 2 weeks na zilikuwa na mafanikio makubwa kwani watu wameokoka,mapepo yametolewa vifungo vimevunjwa na waumini wamefaidika sana kiroho.
Basi hapo tumalizie kwa kusema hata wote waliomwendea Bwana Yesu sio wote walipona bali ni wale waliokuwa na imani tu,wengine walitoka na stori kama ile ya kumpaka mtu tope usoni akaambiwa akanawe,wale waliosubiri arudi walisimulia makuu ya Mungu, waliowahi kuondoka kwenda kusimulia walienda na maelezo kwambo Yesu anapaka watu matope.
Yote ktk yote mambo ya imani tuiachie imani ifanye kazi.Laiti kama watu wangepigwa sachi hata watu maarufu tungeshangaa kukuta wamevaa mifupa ya kuku aliyekufa zamani lkn anawalinda binadamu walio hai.
Nadhani mambo ya imani yuwaachie wenye imani.
 
Basi hapo tumalizie kwa kusema hata wote waliomwendea Bwana Yesu sio wote walipona bali niMimie waliokuwa na imani tu,wengine walitoka na stori kama ile ya kumpaka mtu tope usoni akaambiwa akanawe,wale waliosubiri arudi walisimulia makuu ya Mungu, waliowahi kuondoka kwenda kusimulia walienda na maelezo kwambo Yesu anapaka watu matope.Yote ktk yote mambo ya imani tuiachie imani ifanye kazi.Laiti kama watu wangepigwa sachi hata watu maarufu tungeshangaa kukuta wamevaa mifupa ya kuku aliyekufa zamani lkn anawalinda binadamu walio hai.Nadhani mambo ya imani yuwaachie wenye imani.
Unajua watu wanaona pepo ni kitu kikubwa sana kumbe hata waganga wanalipua hizo pepo na zinasema kwamba tunatoka.Mimi naona mafunuo yanachanganya watu sana na wengi wanafanya matukio na sio maagizo ya Mungu
 
Naona vikumbo vya imani vimeanza tena hapa JF...

Siku zote huwa nasema kama unaamini unachoamini na una uhakika nacho ya nini kumletea chokochoko mwenzako asiye wa imani yako!!!

Suala la imani si la kumlazimisha mtu wala kumnyooshea mtu kidole, maana wewe udhaniaye ya kwamba umesimama si ajabu kuwa umechutama au umeanguka kabisa...
 
Unajua watu wanaona pepo ni kitu kikubwa sana kumbe hata waganga wanalipua hizo pepo na zinasema kwamba tunatoka.

Hao waganga wanatoa pepo na kufanya hivyo kwa kutumia "MAMLAKA" ipi?
 
Huko KKKT Tabata wametokea manabii na watabiri hatari kidogo.Maombi yao yamejaa ukakasi kuna saa wanaombea watu utupu na kuna saa wanapiga watu hadi pepo zitoke.Kuna mafunuo ya kutisha kiasi cha kutilia hofu kwamba yanatoka kwa Mungu au shetwani.Haya nimeyapata kwa mtu aliyekumbana na hiyo zahama siku kadhaa zilizopita.

Uongo mwingine hata hauna mashiko.Ukitaka kudanganya uwe na details za kutosha.Mambo yakusikia.
KKKT ni weledi na vitu unavyosema sio vya KKKT.Hili ni kanisa lenye utaratibu unaoeleweka na uongozi thabiti na sio kama unavyojinadi,hapa kuna wazee wa kanisa,mchungaji,mwinjilisti na lazima wote wakubali hivyo kuleta mafundiso yasiyo ya kibiblia sio rahisi unavyodhani.
TUBU KWA UONGO ULIOUSEMA.
 
Ndo shida na umaarufu ni shida nyingine,Hao wakongo wamekaa zaidi ya mwezi kwenye vipindi vya jioni na katikati ya wiki na wameshafanya semina pia.Tatizo wanalazimisha watu kuchumbiana hata kama hawapendani hili ni hatari sana.

Mkuu mimi ni mLUTHERI sio wakuhamia ila nimeamua kumulika wasaka TONGE wote wanaotia wehu waumini wasiojitambua maKANISANI hebu funguka ni Usharika gani huo...Nitinge hapo kupata taarifa kamili kisha nirudi humu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom