Manabii wa ajabu watokea KKKT Tabata

Manabii wa ajabu watokea KKKT Tabata

Ina maana Malasusa hajui hii kitu?
Hayo maombi ya hivyo KKKT huwa hayapo.
 
Sijasema wanasali uchi kuna mtu alombewa kwenye chumba cha maombezi akajivua nguo huyo mkongo akasema mwacheni akavua zote ndipo akatokwa na hicho unachokiita pepo!!je ni wapi yesu alifanya hivyo?huo ufunuo ni wa Mungu!!?Je ni wapi biblia inalazimisha uchumba?Mathayo 24:24.je mke mwema au mume anatoka kwa Mungu au kwa mchungaji au mtumishi?Nina mengi tu sema 6ki kuyasema kwa heshima ya dini.

Mkuu namimi nitaingia kitaa kusaka hizo Taarifa lkn km kuna chocote ulicho nacho cvibaya ukakimwaga hapa na km nikweli basi nadhani Wakuu wao hawajapata Taarifa zakutosha manake kuna kipindi walikuwa wanakuja waHUBIRI flan kutoka UGANDA ni MAPACHA wale ndg walikuwa wanakubalika sana lkn badae ilipochunguzwa ikagundulika kulikuwa nakitu kingine zaidi ya Kuhubiri na kuombea tu huko Kanisani wamepigwa Stop ni muda mrefu hawajaja...Ngoja tutafute taarifa then hakuna Jiwe litakalo salia lazima liinuliwe...
 
Ndo kwanza nimesikia kanisa KKKT kuwa na manabii

Hao sio wa hilo Dhehebu sema wanakaribishwa na Wachungaji wa hizo sharika.....waLUTHERI hawanaga ukanjanja km huo wa manabii
 
Wachungaji wetu hawezi kutoa tena huduma ya maombi
hii ni kutokana na matendo yao,
ile roho imeshatoka kwao;
Hawana msaada wa ROHO MTAKATIFU tena;
Tatizo wachungaji wetu wakisasa Pesa mbele kuliko huduma ndomana...
 
Huko Tabata waliwahi kuibuka jamaa wanajiita Wasabato Masalia wakaenda kupiga kambi pale airport ili wapae kwa Nguvu za neno,Habari yao ikamfikia kamanda Tiba akatuma vijana wake hawakuuliza kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom