Huko KKKT Tabata wametokea manabii na watabiri hatari kidogo.Maombi yao yamejaa ukakasi kuna saa wanaombea watu utupu na kuna saa wanapiga watu hadi pepo zitoke.Kuna mafunuo ya kutisha kiasi cha kutilia hofu kwamba yanatoka kwa Mungu au shetwani.Haya nimeyapata kwa mtu aliyekumbana na hiyo zahama siku kadhaa zilizopita.