Man Utd vs Real Madrid - March 05, 2013: Post match feedback

Natamani sana huyu jamaa achukue hili kombe na Copa Del lay kabla ya kutimkia anapopafahamu. Nilifurahi sana nilipoona Sagio Ramos amejifunga ata goli la Bernabeu alifungisha yeye, simpendi yfye na Casillas ni wabaguzi sana wamesababisha makundi ya utaifa kwenye timu na hawampendi Mourinho kwa chuki zao binafsi. Wameshasahau kuwa kabla ya Mourinho walishapotea kwenye ramani ya soka mwisho wao kwenye UCL Ni 1ö bora tu.
 
Ronaldo kawazaba cha nje na ndani.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
Du! Ama kweli, Morinho ni funga kaz, na hyo ndio dawa kwa man u,maneno sana
 
Ndo nini sasa. Au majani ya asubuhi yamepitiliza
 
Yeeeees it was right ile kick tena kajiangushaaaaa
 
Jana Marefa United ilikuwa ifanywe ile kitu Simba alifanywa na Libolo, basi tu Ronaldo alikuwa anajipendekeza.

Luis Nyani alifanya jambo la kijinga kabisa. Baada ya ule mguu kutua mbavuni, aliongezea kwa ku-push kidogo na hapo ndio lengo lake likadhihirika.

Kwa upande mwingine, RvP hafungagi kwenye big match. Yule anawafunga Norwich, West Ham na Aston Villa, akiwekwa na manguli anakuwa mdogo tu kama pimbi.
 
hatuongei sana...anayefahamu mpira na kuangalia leo anajua cha kusema....Viva Man U..

Watoto wa web mnakelele.....what gos arnd comes arnd...mlidhan mnacheza na QPR..
 
baada ya majigambo mengi mtaani hatimaye jose morinho amekata ngebe za man u pale pale old trafford.ni furaha ilioje!
mkuu umesahau maneno hapo juu!!...jose morinho kushirikiana na refa...
 

Hahahaha! Nimecheka mpaka basi...!
 
hata mourinho mwenyewe amekiri kuwa walikuwa na bahati na wala sio kwamba walistahili kushinda...refaree spoiled everything thats all. LIVE LONG MAN UTD.
 
hata mourinho mwenyewe amekiri kuwa walikuwa na bahati na wala sio kwamba walistahili kushinda...refaree spoiled everything thats all. LIVE LONG MAN UTD.

Mourinho ni mtaalamu wa maneno, hapo kawasanifu tu "kiutaalam" Kumbuka alichosema kuhusiana na first leg, "Mechi ya marudiano heshima pembeni"
 
wao wakibebwa na Web huwa wanaona sawa sasa hapohapo kwenu mmeingiziwa lidudu kama Simba ...hiii ndiyo R.Madrid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…