Mambotele-Ymcmb
Member
- Aug 8, 2013
- 24
- 1
n uwezo 2!w th bsts man u!hao wnaogpaa makombeee hawajazoeaa!
Nakapanya wenga leo kaona dakika 3 hazitoshi , alitaka kulia
Yule atakuwa sio mzima kichwani, wakati wakulalamika muda kuongezwa angekuwa Moyes, badala yake analalamika yeye, je wangesawazisha angelalamika.unajua tatizo la Wenger ni kiburi,juzi alisema kwavile Fergie hayupo kwenye benchi bas refa atakuwa fair,sasa nashangaa jana na makoti yake akaenda kumzonga kamisaa kulalamikia dakika zilizoongzwa
Wafungwaji utawajua tuMmekosa kazi
Wenyeji wanaongelea Biriani wewe unaleta Ugali.ivo nani Bingwa Ahly au Orlando Pirates...?
Sasa kama ni hivyo huyo OZIL alikuwa anafanya nini?Mkumbuke kuwa Gea mpaka dk 36 alikuwa haja kusa mpila pale golini,
Goli zuri sana hili, huyo ndiyo Van Persie atawatungua kila mechi mpaka watakapo mrudisha kwao kwa kitita cha zaidiya paundi milioni 100. Hahahahaaaaa....
Igweeeeeeeeeee...Kwa misimu 10 mfululizo, Arsenal hajawahi kushinda OT...
Wenyeji wanaongelea Biriani wewe unaleta Ugali.
Ushuzi wa mtu aliyekula mizeituni.Kwani Ozil ndo ushuzi gani huo??
Bei zake sokoni zinafanana?Mkuu G; si yote msosi....
Bei zake sokoni zinafanana?