Man Pacquiao ndani ya kanzu

Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.
Nawewe toa uwongo wako hapo, hizo sio kanzu za Qatar hiyo kanzu ya Emirate,nani amekataa kama mkatoliki? Wapi nimekwambia amekuwa muislamu?
Du! kumbe kanzu zina aina!! ya bongoland ikoje?
 
Kanzu ni sawa na overall ona mh. RC amepiga kanzu kwenda kufanya usafi!!

Ooh ndiyo maana tunamuona pengo na mapadre wake wakivaa hizo wanapokwenda wasafisha kondoo? Is it kondoo au... Maana Yesu alisema alitumwa kwa kondoo waliopotea wa wapi vile na mkate haufai kutupiwa nani vile?

Majanga.
 
Uzuri hata mafunzo yenyewe hatufuati ila linapokuja suala la kutetea aaah tutatetea hadi basi
 
Kunawatu humu naomba wakapime akili tafadhali, yani unaweza kwenda peponi kwasababu umevaa kanzu?????.

Eti, "ndani ya kanzu."

damen!!!!!.
 
Ooh ndiyo maana tunamuona pengo na mapadre wake wakivaa hizo wanapokwenda wasafisha kondoo? Is it kondoo au... Maana Yesu alisema alitumwa kwa kondoo waliopotea wa wapi vile na mkate haufai kutupiwa nani vile?

Majanga.
Miafrika bwana ujinga tu ndo umewajaa
 
Waislam bana, mnafurahi sana mtu maarufu akisilim kuliko asie maarufu, kwani kuna tofauti gani kati ya roho ya mtu maarufu na asie maarufu katika uislam?
Au ndio kusema mnataka watu maarufu wautangaze uislam uwe maarufu, basi kama ndio hivyo kuweni kama adidas au nike, walipeni watu maarufu wawe wanavaa baji yenyr nembo islam kama kina messi au ronaldo au john cina wawe wanautangaza uislam.
Wewe mwana mpotevu nani alikuambia usilamu unahitaji ushabiki. Hii ni dini ya facts sio ubabaishaji wenu wa kihafidhina. Kuna watu wakisilimu wanaupa uislam nguvu hata mtume katika dua zake alikua akiomba umar r.a asilimu. Tunafurahi yeye kuepushwa na moto wa jahannamu. Una swali lingine mwana mpotevu ???
 
kinachompeleka mtu peponi ni dini au matendo?
coz unaweza kuwa una swali sana lakini matendo ni sifuri kutwa kushinda kwa waganga na kufuga.
nikipi haswa kinachompeleka mtu pepo ni uislamu,ukristo au matendo?
Kinachompeleka mtu peponi ni matendo yake ila katika uislamu lazima umkubali Allah kwanza kama mungu muumba kisha ndo matendo yako yakubaliwe. Usipomkubali basi matendo yako hata yawe mfano wa mlima uhud hupati chochote zaidi ya mavumbi hata kama umejenga misikii laki8 hilo lote ni vumbi. Allah azidi kuwaongoza makafiri wajue njia sahihi. Tunashukuru Allah kwa hii neema ya uislamu.
 
maana ya kafiri ni nini?
 
hivi kanzu ni dini au utamaduni?
Ni utamaduni pia usisahau ndo vazi Muslim wanapenda kulivaa.....unaweza vaa kanzu Na ukaenda bar ukalewa chakali hakuna atakayekushangaa kwa huko umangani, ila ukivaa kanzu huku kwetu ukaenda bar watu watakutolea macho
 
kanzu ni utamaduni tu...
there is big differences btn religion and spiritual.
religion is man made just as an institution being there to corrupt,soften mind,politics etc but
spiritual is supreme from creator of creator
 
uploadfromtaptalk1461503772648.png
hii picha kaipost masaa saba yaliyopita akitoka kanisani na familia yake....sio kila unaemuona na kanzu ni muislam,lile ni vazi la staha tu na watu wengi wa imani zingine wanavaa
 
Okey nashukuru Munguu sisi ni makafiri nafuu yenuu nyie mlio nachuki sio makafiri inauma unaishije na mtu mkila mkicheka kumbe rohoni mwako unachuki hivi siamini kuwa kucheka kwenu ipo usoni moyoni mnatuchukia inauma aise sio useme wanaokula nguruwe hao makafiri sema wakristo makafiri wanaokula nguruwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom