Man Pacquiao ndani ya kanzu

Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg
Reference please.....
Jamaa ameokoka, yuko very deep, ukiona anaingia msikitini ujue anamleta Kristo kwenye jamii yenu. Hata Papa aliingia msikitini na viatu na mkampigia makofi.
HALELUYAAAA
 
tuache kujivunia dini za waarabu,mayahudi na wazungu..
hakuna mahali ambapo mtu mweusi aliwahi kukosolewa ktk vitabu vitakatifu kama walivyokosolewa waarabu na mayahudi..
hivyo tupende mila zetu ikiwa ni pamoja na namna mababu walivyomuabudu Mungu na kupata majibu ya haraka kutoka kwa Mungu kuliko kumuomba kupitia hizi imani za kuigiza ambazo majibu yake ni indirect..
Bora wewe naweza kukusikiliza.
 
kinachompeleka mtu peponi ni dini au matendo?
coz unaweza kuwa una swali sana lakini matendo ni sifuri kutwa kushinda kwa waganga na kufuga.
nikipi haswa kinachompeleka mtu pepo ni uislamu,ukristo au matendo?
Matendo ndugu
 
Kule kanda ya ziwa wakati wa harusi ama kuchumbia, wanaume huvaa kanzu na makoti. Nadhani huwa wana silimu kwa muda, ama vipi?
 
Hata TL siku moja moja anatupia kanzu, ila anakula nguruwe
 
Najua shule yangu huifikii, lakini nimesema kama ndio hivyo kwa nini msifanye kama nike au adidas au samsung muwalipe watu maarufu wawe wanavaa jezi au nembo yenye neno uislam ili wazidi kuutangaza?

Mbona ni rahisi tu kama mnataka kutumia watu maarufu wautangaze usialam, chukueni dili na epl muwe wazamini au eufa muitoe heinken, au mfadhili madrid wawatangaze wawe wanavaa jezi yenye neno uislam, hakika mtashangaa mtakavyokua maarufu, au mfadhili miss world, hapa tanzania anzeni na miss tanzania au bibi bomba.
nenda shule ww ni mbumbu! wewe hujui mtu mashuhuri kuingia kwa hiari yake bila kulazimishwa katika uislam kunawashawishi wengi kuufatilia na kuusoma kujua kuna nini huku mpaka huyu kujiunga? tofauti na kutumia ushawishi wa hela?
 
Kweli dini wendawazimu wananchi mnamgombania jamaa utadhan atawapeleka peponi
 
Imamu aiba nguruwe
  • Anaswa akimchinja makaburini, afikishwa kortini
KATIKA hali isiyo ya kawaida, aliyekuwa Imamu wa Msikiti wa Kisesa uliopo Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, Salum Yusuph, amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira baada ya kukamatwa akiwa ameiba nguruwe.
Tukio hilo ni la kushangaza kwani kwa mujibu wa imani ya dini ya Kiislamu inakataza ufugaji na matumizi ya nguruwe.
Imamu huyo anayeheshimika sana wilayani Magu, alinaswa na ‘kitimoto’ hicho maeneo ya makaburini akiwa katika harakati za kumchuna baada ya kumchinja tayari kwa kitoweo.
Chanzo;Tanzania Daima
 
Mi nakupa pole sana..zinduka. Uislam ndo dini ya haki hata Yesu alibashiri ujio wa Uislam sema tu wahuni waliibadilisha Injili wakaweka mambo wanayotaka wao kwa maslahi yao
Quran ipo moja tu na haibadiliki..lakini tazama bible..version kibaao na bado watu wanakaa vikao kuibadilisha.

Zinduka mkuu..tafakari sana juu ya hili.
Story za msikitini hizo.
 
mimi huyo nibadili niwe muislamu? soma vizuri quruani halafu utajua dini ya kweli ni ipi
 
Huyu jamaa ni mlokole hiyo picha ni ya zamani akiwa bado hajaokoka..ukitembelea page zake hasa ya leo utakuta amepiga picha na family yake wakielekea kanisani
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyu mtu ni mlokole zamani ndo alikua Roman Catholic jaribuni kufuatilia au kusoma page zake .
 
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg
Labda tu tukuambie kua Manny si mromani ni mlokole,pia kuvaa kanzu sioni tatizo.
 
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg

Nyie ndiyo mnasababisha watu wadharau Usilam kwa sababu mnauhusisha na uongo, ujinga na vitu vya kipuuzi. Badilikeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom