Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
Najua shule yangu huifikii, lakini nimesema kama ndio hivyo kwa nini msifanye kama nike au adidas au samsung muwalipe watu maarufu wawe wanavaa jezi au nembo yenye neno uislam ili wazidi kuutangaza?wewe hujui impact ya mtu maarufu katika jamii? hujiulizi kwa nini makampuni makubwa hutoa mabilioni kwa ajili yakutangaziwa biashara zao na watu maarufu? unadhani mangumbaru hawawaoni. rudi shule
Mbona ni rahisi tu kama mnataka kutumia watu maarufu wautangaze usialam, chukueni dili na epl muwe wazamini au eufa muitoe heinken, au mfadhili madrid wawatangaze wawe wanavaa jezi yenye neno uislam, hakika mtashangaa mtakavyokua maarufu, au mfadhili miss world, hapa tanzania anzeni na miss tanzania au bibi bomba.