Man Pacquiao ndani ya kanzu

Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.
Haaaa kaz kweli kweli, mm Mkristo
Nina kanzu, Kofia, na Msuli. Pia navaa sana.
Tuna imani kuu mbili duniani imani za kiroho na imani za kimwili
Imani za kiroho hujibidiisha kuitunza roho kwakuwa ni katika roho chemchemi ya uzima hutoka...kwao hawa mwili na vitu viharibikavyo havina nafasi kubwa...ukitakasa roho hata mwili utatakasika
Halafu kuna imani za kimapokeo na kutunza mwili na kuwa na kanuni kwenye kila kitu, kuvaa ganda ya uhalisia fulani usiopo ndani ya roho..hapa vitu kama mwili na mavazi hupewa kipaumbele kikubwa kwakuwa inaaminika ukitakasa mwili na roho itatakasika
 
Kama ni kweli, basi mungu amjaalie. Alianza Ally, akaja Tyson, na sasa anakaribia Pacquiao.
 
maana ya kafiri ni nini?
Kafiri ni Mtu anaeabudu KISICHO MUNGU MMOJA.

Yeyote ANAEABUDU MUNGU MMOJA. PEKE YAKE bila Kumuwekea Washirika. Huyo SIO KAFIRI.
Lkn Yyt mwenye Kusema Mara Miungu watatu kwa mmoja,mara utatu mtakatifu. Mara mungu mwana na Sijui mungu mama. Na wale wenye kuweka mapicha na kuyapigia magoti Hao Woooooote ni MAKAFIRI.

Hii ndio maana halisi ya Neno "KAFIRI".
Na wala sio Tusi bali ni Sifa ya mtu.
Basi tu watu wengi hawaelewi maana halisi.
 
Kwa taarifa yako Ndani ya Taifa la Philippines hakuna msikiti...!
Bi mkubwa Wacha unafiki wa kitoto .

Kuna miskiti si chini ya 400 ndani ya MANILLA peke yake. Bado miji mingine

Huu ni mmoja wapo.
ff3b35f5f8dda993d215d0daf4d07ac4.jpg


Ongezea Na huu ambao uko mbali kabisa ya mji mkuu.


Grand Mosque (Sultan Hassanal Bolkiah Masjid), Cotabato City
e44ae6a9aee26410e1bcf3f6e7c15906.jpg




Gonga na hapa uone kwa macho yako Km unayo.

Beautiful mosques in the Philippines

Hivi Uongo huwa ni moja ya ibada zenu za weekend?
 
Ushahudi mkuu tafadhali.....nimjuavyo huyu
jamaa, coment yake ya mwisho aliwaambia Nike " siishi kwa ajili ya Nike bali naishi kwa ajili ya
Yesu".... hii haina hata miezi 2 Nike walipo mwondolea udhamini..... leta ushahidi wa yeye kusilimu tafadhali....
 
Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana,
Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"...
MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao

View attachment 342062
Ahsante mkuu.... huyu jamaa ataelewa... umempa ukweli arudi tena akajipange...
 
Sikujua kama kanzu ni uislam na uislamu ni kanzu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom