Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.

Mr Hero

JF-Expert Member
Jun 11, 2015
5,540
7,452
Jina lake: Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao..
Kazaliwa: 17 - Dec-1978 Kabawai Philippine

Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tuzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti.

Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisani. Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu.

Allah amuepushie aukubali Uislam in shaa Allah!

a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg
 
Hongera zake kwa kufuata mfano wa Mohamed ali na Tyson, sasa ataenda peponi
Umeambiwa bado hajasilimu, anachofanya ni kujifunza.

Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofaut.

Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan.

Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg
 
Waislam bana, mnafurahi sana mtu maarufu akisilim kuliko asie maarufu, kwani kuna tofauti gani kati ya roho ya mtu maarufu na asie maarufu katika uislam?
Au ndio kusema mnataka watu maarufu wautangaze uislam uwe maarufu, basi kama ndio hivyo kuweni kama adidas au nike, walipeni watu maarufu wawe wanavaa baji yenyr nembo islam kama kina messi au ronaldo au john cina wawe wanautangaza uislam.
 
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg

Just another hoax. Hata Makonda anavaa kanzu. Hata source huna.

image.jpeg
 
Waislam bana, mnafurahi sana mtu maarufu akisilim kuliko asie maarufu, kwani kuna tofauti gani kati ya roho ya mtu maarufu na asie maarufu katika uislam?
Au ndio kusema mnataka watu maarufu wautangaze uislam uwe maarufu, basi kama ndio hivyo kuweni kama adidas au nike, walipeni watu maarufu wawe wanavaa baji yenyr nembo islam kama kina messi au ronaldo au john cina wawe wanautangaza uislam.
wewe hujui impact ya mtu maarufu katika jamii? hujiulizi kwa nini makampuni makubwa hutoa mabilioni kwa ajili yakutangaziwa biashara zao na watu maarufu? unadhani mangumbaru hawawaoni. rudi shule
 
CHURCH.jpg
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg

Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana,
Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"...
MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao

Manny Pacquaio arrives to Doha_0.jpg
 
Kama hujui kitu ni bora unyamaze brother, kanzu ni vazi la Kiarabu na alivaa alipoenda Qatar mwaka jana,
Huyu jamaa ni mkristo safi sana na kumwacha Yesu ni ngumu, kama ilivyo jina lake "EMMANUEL"...
MFUATILIE ZAIDI HAPA OFFICIAL PAGE YAKE: Manny Pacquiao

View attachment 342062
Nawewe toa uwongo wako hapo, hizo sio kanzu za Qatar hiyo kanzu ya Emirate,nani amekataa kama mkatoliki? Wapi nimekwambia amekuwa muislamu?
 
kinachompeleka mtu peponi ni dini au matendo?
coz unaweza kuwa una swali sana lakini matendo ni sifuri kutwa kushinda kwa waganga na kufuga.
nikipi haswa kinachompeleka mtu pepo ni uislamu,ukristo au matendo?
 
Utamaduni wa philipino ni vazi la kanzu?
uwe unaelewa! Kanzu ni vazi la tamadun za kiarabu na ndo mana ukienda kwao mfano dubai kuna waarubu wanaingia na ilo vaz mpaka kwenye mapombe, halafu wenye wanalichukulia kawaida sana tofaut na wengne ambao wakivaa kanzu wanajiona wameshafika peponi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom