Man Pacquiao ndani ya kanzu

Man Pacquiao ndani ya kanzu

Status
Not open for further replies.
Unafanya vibaya. Watu wanao amini katika dini flani wenye tabia kama wewe wamekuwa wakiichafulia sifa dini yao. Watu hao kama wewe wamekuwa wakipenda kuleta propaganda kama "mtu flani amehamia kwenye dini yangu kwahyo ata akifa ataenda peponi". Kwahyo hao wa dini zingine wataenda kuzimu? Ivi unavoleta hoja kama hiyo kwenye mtandao wa kijamii unadhani mwenzako wa dini tofauti anapokeaje? Unadhani atakuelewa na ataamua kubadili dini tu kwasababu ya izo sababu zako za kujiona kwamba wewe na dini yako mpo sahihi?
Sometimes think outside that religion box of your religion.
Alafu Peleka huko swaga zako za kimbea Pacman hupo na dini yake sema tu ni mtu Open minded issue ya kuvaa Kiarabu kwake haina effect kwa dini yake.
 
Tupieni picha ya EL akiwa amevaa kama yule kiongozi mkuu wa P.L.O....Arafat
 
nmecheka sana,njoo tanga utajua kama kanzu ni vazi au ni dini,nlipokua tena sasa imepungua nlipokuwa mdogo babu yangu alkia akiingia na kanzu kanisani,pia hata mashemasi wa kikatoliki uvaa kanzu.
 
Hivi wale boko haram wamerudisha mabinti wa watu?
Napita ntarudi baadae.
 
Mapadre mashemasi hufaa kanzu na wa Othodox wengi hufaa kanzu kipi cha ajabu hapa ??. ila kama kaamuwa kufwata njia anayo ona nisahihi kwake nikipi chaajabu nikwanini dini ya mtu iwe habari ina maana uislam sio dini yenye hadhi ya mtu maarufu ??. Mbona kila mtu maarufu aki endahuko huwa ni habari kwanini iwe habari mtu kwenda uslamuni , kuna nini huko paka mtu akienda inakuwa,habari.
 
Hebu nenda nawewe afu uje utupe majibu ya kwanin wanaenda huko
 
Jina lake:Emanuel Pacquiao Dapidran a.k.a Pacquiao
Kazaliwa:17 - Dec-1978 Kabawai Philippine
Boxer wa kwanza kutoka katika bara la Asia kushinda tunzo 5 tofauti tofauti kwa uzito tofauti
Dini yake katoliki na mara nyingi huwa akishinda pambano lake bas hupeleka sadaka kanisan
Ila kwa sasa haswali tena kikatoliki na anajifunza Uislam ila bado haja silimu

Allah amuepesishie aukubali Uislam in shaa Allah
a9ab556bd5741016d2117fed1063e756.jpg
Inshallah..
 
Hawa ma ISIS akili zao sijui zikoje....... hivi kama mtu haukubali uislam iwaje umwite kafiri kwa nn usimtreat fairly then fanya liliohaki kumfanya mtu aelewe ukweli..
Note: I was a Muslim, I know my fellow brother your wrong and I'm not Muslim anymore
 
Nimekupenda bure kaka yangu,hiyo picha ya chini kaipiga leo asubuhi akienda kanisani. Mimi nawaomba wachangie tu kistaarabu maana jana nilikuwa naangalia documentary ya wakimbizi wa Syria na Libya wanavyokufa baharini wakikimbilia kwenye nchi za wakristu Ulaya huku wakiziepuka nchi za Waislamu. Kwa kifupi siku natoka kwenye ukiristu basi bora nikaabudu hata punda. Kwa namna Man anavyoipenda dini yake nilifikia hatua nikawa na wasiwasi kama atakuwa na muda hata wa mazoezi.
Yaani mkuu kwa ujinga huu wa hawa washikwa mackio na waarabu bora niabudu mbwa lkn c kuingia dini hyo mana niwanafiki sana mfyuuuuu!!!!!kila kitu dini yao ndo safi duniani kuna nchi hawajui kma kunaukristo au hlo lidin lao wanaabudu wanavyoviamini wao na mung wao,ujinga umewakaa kama dini ndo pepo!!!!!!mashetani roho mbaya!!!!
 
Inawezekana baadhi ya wagaratia hajui heshima ya kanzu hata biblia yenu hamuijui ndio maana mnaibeza kanzu yaani mfano wenu kama punda aliye beba vitu vya thamani asijue ndani take kuna nini
 
Mimi navaa kanzu na kibalaghashia lakini sina mpango wa kuwa Muislamu.
Kuna jamaa zangu ni waislamu wazuri hila tunapiga nao myama Noah kila weekend nyinyi bakini na dini zenu vitu vitamu vinawapita
 
Sijui huwa mnapata faida gani kudanganya namna hii,hii ilikuwa ziara ya Man Pacquiao huko UAE
Alienda yeye,mkewe na watoto wawili,ukisoma picha ya pili utaona wanaelezea kuwa jamaa alijumuika kwa kula na kuvaa mavazi ya "Utamaduni" wa UAE
Mr Hero sijui ulidhamilia nini??
image.jpeg
image.jpeg
 
Kupiga kichwa sakafuni kunamaliza uwezo wa kufikiri, hayo madesa anayapata wapi au wewe siyo boko haram?

Schwine ni kijerumani kikiimanisha nguruwe , kichwa nazi mkubwa!
Vipi kuabudu kinyago cha mpapure yesu ? ndio mmefikiria mpaka mwisho ?
 
Hua navaa sana kanzu na msuli na barakashia,na nilivinunua ili nizamie navyo kwenye harusi hasa za kihaya bhaaaasi!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom