Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,826
- Thread starter
-
- #81
Mkuu Balantanda, haya ni makosa ya kibinadamu au umedhamiria kutu-mislead sisi vijana wako?
Mancini nenda, usiogope kamsalimie De Mateo wa Chelsea, Sentifield wa Yanga, Cirkovic wa Simba, Poulsen Sr wa Taifa Stars na watakatifu wote ambao Bwana amependezwa nao tangu kale.
aiseeeeeee babaangu alafu maswla ya ku2danganya upo wanjani kumbe haupo upo kwenye tv
Leo rooney anapiga hat trick, bado la penalti.
mkuu kuna wana siasa wengine hata majina wanadanganya!!!!Kitu ambacho mwanasiasa anasema ukweli ni jina lake tu
Safu ya ulinzi ya Man City haipo sawa Kompan na Koro wanagongana sana.
Kompan ni kama ametoka kaingia koro.
nashangaa anapitiliza kwenye chumba cha kubadilishia!!!!Super Mario nje......Tevez ndani
Super Mario Bangi anaenda kuoga kabisa.