Gallijembe
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 181
- 37
Vijana wa City na Barca chin ya referee msweden Jonas Eriksson wanataka kutoa droo
mkuu wenzetu huwa wanatumia akili sana kwenye hizi game wewe subiri utaona mambo yakibadilika
kawaida tu..
huna timu ya kumfunga Barca 7
Naomba Puyor awekwe bench ili ampishe Alba,pia Neymar atokee bench.
Sina shaka busquets atatawala dimba la chini vema.
Fernandinho,David Silva & YAHYA Toure wote wapo hakuna lolote wanalofanya zaidi ya kucheza faulo. Barca wamenyimwa penati kolarov kashika eneo la 18.