Man city Vs Barcelona @Etihad Stadium

Man city Vs Barcelona @Etihad Stadium

Kwa takwimu za kuanzia mwaka 2012,katika hatua ya mtoano, Barca wamekuwa wakipoteza mechi nyingi za ugenini, na kusubiria kupindua matokeo katika mechi ya marudiano wakiwa kwao, rejea mechi Yao na Milan, PSG, Inter Milan ya Mourinho,n.k. Hivyo, takwimu na historia zinaonesha Barca wanapoteza mechi ya Leo. Hata hvyo huu ni mpira,tusubiri tuone lolote laweza tokea.

ahsante mkuu kwa dondoo
 
Ni mechi nzuri ambayo haina utabiri wa kirahisi..Ila Manchester City nawapa kete yangu kuweza kuibuka mshindi leo..Hii ni kutoka na kasi na nguvu ya uchezaji wao..City licha ya kumkosa Aguero na Fernandinho na nikiingalia safu ya ulinzi ya Barca sidhani kama Negredo au Jovetic au Dzeko kupata shida leo...Hii mechi itaamuliwa na ulinzi wa Barca...Nahisi Barca watapwaya nyuma ambapo itawapelekea kuadhibiwa leo.....

kweli kabisa maana Barca hawana beki wanalindwa na kiungo chao
 
Wamekutana na timu bora iliyotoka kumpiga mtu bao 6-0!


Mourinho akiwa na Chelsea huwa hawaruhusu kabisa Barc kucheza hivi hasa wakiwa Darajani! Lkn city kapwaya sn!
 
tofauti na supersport ni channel gani nyngne inaonyesha ucl?

kwa sisi wa Mwanza tunaangalia ktk cable ya muhindi kupitia chaneli ya Bein sports zamani ikijulikana Al Jazeera sports
 
Back
Top Bottom