Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,382
- 10,951
sio mbaya mpaka sasa nimeamini chama langu city linauwezo wakuitoa barca kwao kama tu hatutakuwa na red card.
Kwahiyo red card ndio chanzo cha kufungwa? Mbona hamkuwafunga kabla ya hiyo red card?
Ligi ina wenyewe hiyo! Na ngoja shehe Mansour akache na pesa zake, lazima mrudi kwenye nafasi yenu.
#WeeClub