cheki dtv au za kenya..hivi wakuu king'amuzi cha star times hawaonyeshi hii mechi leo au mpaka kesho ya arsenal? daaamn
Hahahahahaha.Man city wacheck kwan wanawaacha barca kucheza Mpira. PSG inaongoza kwa 1-0
Man city wacheck kwan wanawaacha barca kucheza Mpira. PSG inaongoza kwa 1-0
hii kona ya kwanza..
hii ni game plan tu kwani city wanawaacha barca makusudi ili wajisahau