Man city Vs Barcelona @Etihad Stadium

Man city Vs Barcelona @Etihad Stadium

Ni mechi nzuri ambayo haina utabiri wa kirahisi..Ila Manchester City nawapa kete yangu kuweza kuibuka mshindi leo..Hii ni kutoka na kasi na nguvu ya uchezaji wao..City licha ya kumkosa Aguero na Fernandinho na nikiingalia safu ya ulinzi ya Barca sidhani kama Negredo au Jovetic au Dzeko kupata shida leo...Hii mechi itaamuliwa na ulinzi wa Barca...Nahisi Barca watapwaya nyuma ambapo itawapelekea kuadhibiwa leo.....
viizuri sana mkuu..
 
Mechi ngumu lakini kama Kun Aguero na Fernadinho wakicheza Barca hachomoi
 
Naomba Puyor awekwe bench ili ampishe Alba,pia Neymar atokee bench.
Sina shaka busquets atatawala dimba la chini vema.
 
Naomba Puyor awekwe bench ili ampishe Alba,pia Neymar atokee bench.
Sina shaka busquets atatawala dimba la chini vema.

hii gemu ya subiriwa sana na imewasili ngoja tujionee chacha..
 
kwa hiki kikosi cha city kilichopangwa leo sioni ni jinsi gani barca wataepuka kipigo
 
Back
Top Bottom