ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Negredo boya tu!
atatupia tu..
Negredo boya tu!
Aise!!3-0 Ibra Kadabra kwa shuti kali la mguu wa kushoto
Kitu kinakugonga au siyo.ht 0 - 0 city - barca
city kushinda..tutarajie nini kipindi cha pili?
Barca atarudi kwa nguvu kubwa huku akipa city pressure kubwa,na mwisho wa siku ni ushindi kwa Barca.tutarajie nini kipindi cha pili?
Kitu kinakugonga au siyo.
Ila kama wakisuruhu leo basi kuna uwezekana city akafanya maajabu ugenini.
Ila ukweli unabaki pale pale ata kama mchungu.
Leo city lazima akae.
hata na city pia kwani droo sio nzuri sana kwetu..Barca atarudi kwa nguvu kubwa huku akipa city pressure kubwa,na mwisho wa siku ni ushindi kwa Barca.
PSG wametupia jingine lol!
B.Leverkusen0-3PSG!