Mamndenyi popote alipo

Mamndenyi popote alipo

kanituma kaniambia umkome hana mda wa kulea .. ye mwenyewe pesa hazimtoshi

Sawa mjumbe…nikimtaka mwingine ntakwambia ukaongee nae hahahaaaa wanikumbusha mbali na huo udalali!!C/O international!!!
 
Mwanae wa mwisho huyo bibi ameingia chuo kikuu juzi alikua analalamika mkopo hawajampa licha ya kuwa na vigezo.

Halafu wewe. Usinikumbushe nikaanza kuwatukana watu hapa.
 
miss chagga upo?
Je hautaki mjomba? Sema tu hapa hapa.

Huyu binti miss chaga ni wivu tu unamsumbua mama anaona watu saizi yake tunamruka tunasema na shangazi zake na kwa kiburi alichonacho tutamtambuka sana!!!ajirekebishe ili tumfikirie na yeye!!
 
Last edited by a moderator:
Mamndenyi ushakwenda pm nini sioni ukichangia tena

Mama mtu mzima huyu hakiharibiki kitu mwisho wa siku tutaenda sawa tuone huyu miss chaga atakua mgeni wa nani mm nikishakaa kwa shangazi!!
 
Last edited by a moderator:
Ha ha haaa, naona ni wale wa wanaume wa rombo. Ni kama ameingia mitini.

Nipo mama nakunyatia kwa nyuma…tatizo huyo anti yako miss chaga anazingua show si yake anakua kiherehere!!ma mndenyi bado sijakata tamaa nazidi kupungua uzito tu…fanya tuyamalize haya mambo!!
 
Back
Top Bottom