yaonekana wamjua vizuri huyu ...!! mavumba yamo nini? afu tuko na wabunge humu. usikute ndo Halima Mdee huyu.!!!!!!!
Labda ni macho yangu tu.......Lakini huyu Member maarufu sana kwenye Jukwaa hili na Mahusiano..hana uchoyo kabisa linapofika suala la kugonga likes.
Tembelea tembelea thread za watu kama atakuwa yupo hewani kwenye post lazima utaona amegongea watu "like". Hata mimi ndiye mtu anayeongoza kwa kunigongea like.
Congratualtion Mamndenyi kwa roho ya kitajiri.
Ok nipe kazi mkuu. mbona ameshafundwa tayari si unaona alivyojaa maadili mkuu.
kama nikweli mpeni hongera zake. lakini kabla ya yote ngoja nicheck profile ya Saint Ivuga kisha ndo tuendelee na maada hii. Hakuna kubahatisha hapa. Mia
Kwenye kipimo chetu cha UKARIMU METRE (UM) ana UM ngapi?
jambo dada Elizabeth Dominic nina maongezi muhimu na wewe
Jambo mkaka Saint Ivuga...................karibu
Nashangaa muda wote unazurura kwingine..abiria chunga mzigo wako..si unaona hii sredi ilivyo na wadada wengi