Mamndenyi na likes zake....

we Amyner hvi unajua ni kias gan nimeku miss? I cnt xplain jamani

Alikuwa kwenye kamati ya maandalizi ya kumsaka mrembo wa tz naona ameshasaini mshiko ndo ameonekana hapa jamvini tenag
 
kama nikweli mpeni hongera zake. lakini kabla ya yote ngoja nicheck profile ya Saint Ivuga kisha ndo tuendelee na maada hii. Hakuna kubahatisha hapa. Mia

mkuu ulikuwaga wapi!? Au ulipepesa pabaya wakaku BAN
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…