Mamlaka zinashindwa kudhibiti wanaopandisha Nauli za Mabasi kiholela?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
1697461171145.png

Kwa muda wa takriban miezi miwili kumekuwa na malalamiko mfululizo ya Wananchi kuhusu wamiliki wa Mabasi kupandisha nauli bila kufuata utaratibu ingawa sababu wanayoitaja ina umuhimu kwakuwa ni kweli bei za mafuta zimekuwa zikipanda kila wakati huku nauli zikibaki palepale.

Pamoja na hilo bado Mamlaka zinapaswa kuingilia kati na kupanga jinsi suala hilo linavyopaswa kuwa kwasababu bila hivyo mambo mengi yataenda bila utaratibu na kuathiri mfumo wa maisha na hali za Wananchi pamoja na uchumi wa Nchi

Lakini cha kushangaza hadi sasa Mamlaka hazijachukua hatua stahiki zaidi ya kutoa matamko ya kuonya watakaopandisha nauli, jambo ambalo halijaleta matokeo chanya kwasababu upandishaji nauli bado unafanyika na wananchi wanaendelea kuumizwa na hali hiyo.

Ni wakati sasa Mamlaka zioneshe uwajibikaji katika suala hili kwa kuchukua hatua ikiwemo kufungia mabasi yanayopandisha nauli blla kufuata utaratibu lakini pia liharakishe uamuzi wa namna ya kukabiliana na gharama za uendeshaji kwa wamiliki wa mabasi
 
View attachment 2783757

Chaotic country!
 
Weka mfano au ushahidi.
 
Wananchi wanafahamu viwango vya nauli?
Nadhani Latra inatoa elimu ya kutosha juu ya viwango vya nauli,wananchi wenyewe wajiongeze wasikubali nauli zizizopo nje ya zile za Latra.
 
Mafuta yakishuka nauli hazishuki zinaganda hapohapo ila mafuta yakipanda nauli inaongezeka fasta kipindi mafuta yalivyokuwa 1500 nauli wala hazikushuka kamwe
 
Hii nchi haiwezi kudhibiti kitu zaidi ya chadema na free speech.
 
Hao mamlaka ndio wamiliki wa mabasi hayo unataka wajiharibie mapato? Mimi nimepanda Abood Dar Moro juzi nimelipa elfu 11 na imeandikwa kabisa kwenye ticket, kwamba hao latra hawajui kukagua au kusoma tickets za abiria?!
 
Back
Top Bottom