Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na wadau wa huduma za Usafiri Ardhini wakiwemo wamiliki wa mabasi wazingatie hali ya uchumi wa wananchi wakati wa kukubaliana kiwango cha nauli.
Chalamila aliyasema hayo Dar es Salaam jana wakati wa mkutano wa Latra na wadau kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu ongezeko la nauli za mabasi ya masafa marefu na mabasi ya mjini (daladala):
"Mnapojadili suala la nauli pia angalieni abiria wapo katika Hali gani kiuchumi Kwa sasa: (mwisho wa kunukuu)