KERO Mamlaka ya RITA ifanye uchunguzi wa RITA Misungwi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

13hadithi

Member
Joined
Aug 15, 2021
Posts
55
Reaction score
31
Habari wana JF,
Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI

Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025 still cheti kipo approved, tatizo ni nn..??

Screenshot_20250601-111044_Chrome.jpg

Issue ya pili, kwanini mtu aki-apply mwenyewe online hapewi kipaumbele kama wale wanaoenda kutoa Tsh 30,000 au mtuambie kuwa inabidi kwenda kutoa Tsh 30,000 ndo tupewe huduma, nimetuma vyeti vipya toka tar 20/05/2025 mpaka leo tar 1/6/2025 status inasoma new...

Screenshot_20250601-104816_Chrome.jpg

Nimefanya kazi Iringa, RITA Kilolo wanafanya kazi vizur sana, asa naomba msaada RITA Misungwi tujue shida ni nini...??
 
Mayala, au njara.
TAKUKURU wamo kwenye usingizi wa fofofo
 
Habari wana JF,
Naomba mamlaka za RITA makao makuu zifanye uchunguzi wa kiutendaji katika taking la RITA MISUNGWI

Kwanza, Kuna mtu alienda kufanya marekebisho ya cheti Old to New wakamwambia ni Tsh 30,000 wakati control namba ni Tsh 7,000 achana na hapo toka 3/5/2025 mpaka leo tar 1/6/2025 still cheti kipo approved, tatizo ni nn..??

View attachment 3352631

Issue ya pili, kwanini mtu aki-apply mwenyewe online hapewi kipaumbele kama wale wanaoenda kutoa Tsh 30,000 au mtuambie kuwa inabidi kwenda kutoa Tsh 30,000 ndo tupewe huduma, nimetuma vyeti vipya toka tar 20/05/2025 mpaka leo tar 1/6/2025 status inasoma new...

View attachment 3352632

Nimefanya kazi Iringa, RITA Kilolo wanafanya kazi vizur sana, asa naomba msaada RITA Misungwi tujue shida ni nini...??
Singida ukilipia 7000 ukienda kuchukua cheti wanadai 13000 mm nikawagomea afu siku ya pili nikaenda nmevaa kaunda suti safi, nikasikia Samahani mkuu cheti kipo tayaliiii wanazingua sana ahsee....
 
Back
Top Bottom