Mkumbwa Jr
JF-Expert Member
- Mar 23, 2016
- 2,702
- 3,834
Kuna kituo cha runinga kijulikanacho kama Star Swahili kinaonesha filamu zisizoendana na maadili yetu.
Leo jumapili muda huu (saa tisa alasiri) kunafilamu inaonekana watu wanavuana nguo,kuna dada anafanya mambo ya ajabu
Hivi hawa wanaoruhusu hizi filamu zitumike hawana watoto?Wanataka tuwe na taifa la vipi jamani?
Mh.Mwakyembe simama imara hii kansa isienee kwa watoto wetu