Mamlaka husika waadhibuni Star Swahili

Mamlaka husika waadhibuni Star Swahili

Peleka TCRA itafaa zaidi.

Sent from my iPhone 8 using JamiiForums mobile app
 
Ninashukuru kwa walionielewa
Suala sio kuangalia nao au vinginevyo.

Suala nikwamba watoto hata wakiwa peke yao watajifunza mambo yasiyomema kwa umri ambao hauhaustahili

Kwawazazi/walezi wazuri wamenielewa ila wale waliowapa watoto wao visogo watashangaa sisi tunaopinga tabia za kuvuana nguo hadharani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom