Mamiss wetu na maswal ya papo kwa papo

hawa mamiss wetu kwa mara ya mwisho kufaulu darasani ilikuwa ni mtihani wa darasa la nne. Baada ya hapo hamna kitu
kweli kabisa, tena ni watu wasiopenda kujifunza kabisa, viota vyao ni FB kutwa ku-upload picha ili wavune misifa.
 
Sijui katika kipengele cha maswali walitumia vigezo gani ku jaji. Walikula machaka mbaya!
 
wale si vitoto avijui hata vita ni nn lakini pale tayari watu wameshagawana vya kuuzia sura navyo
 
Back
Top Bottom