Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Chama cha ACT- Tanzania ( Muungano wa Wasaliti na Wachumia Tumbo) maarufu kama Tawi la Lumumba Leo wamefanya Mkutano Morogoro ambao ulihudhuriwa na mamilioni ya wApenzi na wanachama. Hii ndio picha ya Mkutano wao


attachment.php
Wapi MM ? Jahazi linazama hili
 
Wasaliti wakubwa!!

Walijisahau wakadhani umarufu wao umetokana na wao!!!
Watasalimu amri tu!!! Walidhani kujenga ni rahisi kama kubomoa!!!
 
ACT sio chama cha siasa bali ni mkusanyiko wa waganga njaa, watafuta fursa na wasaliti tu.
 
ACT sio chama cha siasa bali ni mkusanyiko wa waganga njaa, watafuta fursa na wasaliti tu.

Aiseee! Mkutano umejazaa! Hawa hawatafika popote. Hivi kile kin fine cha ADC kilifia wapi? Na hawa hawatafika mbali!
 
Duh hii nyomi Ni balaa,haijawahi kutokea ktk nchi hii
 
Kigomaaa aaayee kigoma eeeh!!!!! Unaukumbuka Wimbo huu?!! ulikuwa wa ufunguzi wa usaliti kabla ya mdee na nassari hawajashtuka!!
 
Back
Top Bottom