Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

jana majira ya jion mkutano wa ACT Morogoro.
 

Attachments

  • 936048_439717969503033_5778261439138858908_n.jpg
    936048_439717969503033_5778261439138858908_n.jpg
    9.9 KB · Views: 418
Duuu uwanja ulifurika hasaaa hadi pa kupumulia hapakuwepo
 
Mleta uzushi/mada, Umechakachua picha,umeumbuka
mkuu hata kama hajachakachua, act bado ni wachanga mnoo, kitendo cha kufanya mikutano ni dalili njema, tatizo naliona pale wanapo kataa kupokea wanachama ambao hawatoki chadema! yahani sifa ya kupokelewa ACT ni lazima uwe uatokea cdm.
 
wanajua kuzaa na kulea kazi rahisi nini. Wacha sasa waone joto ya jiwe. Chadema kimeimarika wao wanajaribu kubomoa waliposhtukiwa eti wakakimbia mbio kuanzisha chama kusaidia ccm wanafikiri ni simple kihivyo na mbado.
 
Hiki chama cha ZITTO Kabwe kimejifia kabla hata hakijaanza kutambaa, kwi kwi kwi tehe tehe tihi

Nani ajiunge na Chama wakala wa CCM, kama nimechoka na upinzani si najiunga na CCM yenyewe. ZITTO na Kitila hawakutumia hata common sense wakati wanaunda Chama cha kupambana na CHADEMA
 
Kweli ACT wamekuja kuwakomboa waTanzania. Mkutano ulifurika mpk watu tulipanda juu ya miti
 
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehetihi tihi tihi tihi tihi tihi kwi kwi kwi tehe tehe
​
 
Nyomi ya kufa mtu waliokuwa viongozi wa CHADEMA waliofungasha virago juzi kutimkia ACT wamefanya kazi nzuri sana ya kuimarisha ACT.
 
Act wamejaza watu hadi hakuna pa kukanyaga ha ha ha haaaaaaaaaaaaa tutaheshimiana tu.
 
Haha. Wanafikiri chama hujengwa na matamko. Haya waeendeleee. Naamini hata mtuma Mpesa atachoka.
 
Mkiambiwa ni chama maarafu mitandaoni hamuelewi. Potezeni muda na fedha za wajinga. TZ kuna vyama 6 tu navyo ni CDM,CCM,CUF,NCCR,TLP na UDP vingine wapiga kelele mitandaoni.
Mbona CCM imeiweka ya pili, huko ni kuwapa maujiko. CCM ulipoweka UDP ndipo panapowafaa, kwani kwa sasa wanaelekea kaburini.
 
Hongereni sana wasiojua Siasa na uanzishwaji WA Chama watawashangaa sana maana wote hao ni zao la M4C waulize hali ilivyokua 2000 kwa CDM.
Hongereni na Msikate tamaa kabisa.Mwanzo mzuri WA kuifikia Jamii.
 
Back
Top Bottom