Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Hongereni sana wasiojua Siasa na uanzishwaji WA Chama watawashangaa sana maana wote hao ni zao la M4C waulize hali ilivyokua 2000 kwa CDM.
Hongereni na Msikate tamaa kabisa.Mwanzo mzuri WA kuifikia Jamii.

Sasa wenzako hawalifahamu hilo wanachokijua ni chama kuanzishwa na kukua kama uyoga.Kinapata wabunge hapohapo madiwani hapohapo na rais hapohapo hawajui kuwa kuanzisha chama siyo kazi lelema walikuwa CHADEMA lakini hawakujifunza kuwa CHADEMA imefika hapo kwa kuvuka vikwazo vingi.Ukiona nyani kazeeka ujue kakwepa mishare mingi.
 
VP apo uongozi mzima Wa Chadema haukuamia act
 
ACT wanajitahidi sana kwa mikakati wanapokosea ni compate na CDM
 
Ilinifanye kujisikia ugumu wa siasa, nilipopita maeneo ya K Ndege Morogoro jana jumamosi na kukuta hii picha
 
Wenzenu wakianza mikutano hawafanyii kwenye viwanja vikubwa. Wanaanzia stand za mabasi au karibu na soko
Mkuu umewapa wasaliti ushauri wa buree kazi ni kwao waende masokoni na kwenye stand.
 
Kumbe Act ni nyota nyeupe? Utaifa kwanza / betlehem nini maana ya hiyo nyota?

Tiba
Mkuu Tiba
Na hiyo rangi si unajua huwa za kupambia misibani?

Anywayz wacha tuwasikilize hiyo rangi wanamaanisha nini
 
Chama cha ACT- Tanzania ( Muungano wa Wasaliti na Wachumia Tumbo) maarufu kama Tawi la Lumumba Leo wamefanya Mkutano Morogoro ambao ulihudhuriwa na mamilioni ya wApenzi na wanachama. Hii ndio picha ya Mkutano wao

attachment.php

Hii si hoja mkuu! Chama pekee kilichoanza kwa kishindo nchini ni NCCR mageuzi ya Mrema wengine wote hawakuanza kwa kupata wapenzi na wafuasi kama unavyodhani. Kumbuka hata hawa unaowaonesha kwenye picha wamemeguka toka upinzani hivyo ni hasara kupoteza.
 
Du chama kinakua kwa kasi sana..hao watu wengi sana..bila shaka zito anamvuto sana
 
Hii si hoja mkuu! Chama pekee kilichoanza kwa kishindo nchini ni NCCR mageuzi ya Mrema wengine wote hawakuanza kwa kupata wapenzi na wafuasi kama unavyodhani. Kumbuka hata hawa unaowaonesha kwenye picha wamemeguka toka upinzani hivyo ni hasara kupoteza.

Sio kweli, NCCR ilianza kwenye mikutano ya sitting room pale nyumbani kwa Mtikila Ilala; kumbuka Mrema alikuja kudandia lori kwa mbele miaka kadhaa baada ya NCCR kupigania mfumo wa vyama vingi, kukubaliwa, kusajiliwa na kuanza kufanya kazi. Lakini hata ilipoanza kufanya kazi ilipata shida sana katika siku zake za mwanzoni.
 
Chama cha ACT- Tanzania ( Muungano wa Wasaliti na Wachumia Tumbo) maarufu kama Tawi la Lumumba Leo wamefanya Mkutano Morogoro ambao ulihudhuriwa na mamilioni ya wApenzi na wanachama. Hii ndio picha ya Mkutano wao

attachment.php
Nimeamini siasa ni ngumu sana,

pamoja na kelele zote zinazofanywa mitandaoni outcome ndiyo hii, dah!! siamini macho yangu.
 
Bado wanamsubiri Mwenyekiti atue na ndege akitokea...aah, wapi tena kule!
 
Last edited by a moderator:
VIONGOZI WA CHADEMA MKOA WA TABORA WATIMKIA ACT
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Tabora ajiunga na ACT
Katibu wa chadema mkoa wa tabora athman khalfan balozi amebwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliohudhuriwa na mamilioni ya watu leo hii.
source: mtu wangu wa katibu aliyekuwepo kwenye mkutano

wewe una mtu wa karibu zaid ya yule mwanga na yule mganga wa bagamoyo!! urudishe simu ya watu
 
Hii si hoja mkuu! Chama pekee kilichoanza kwa kishindo nchini ni NCCR mageuzi ya Mrema wengine wote hawakuanza kwa kupata wapenzi na wafuasi kama unavyodhani. Kumbuka hata hawa unaowaonesha kwenye picha wamemeguka toka upinzani hivyo ni hasara kupoteza.

Then it will take century to stabilize. Mlizoea kudandia vitu vikiwa mezani bila kujua vilipikwa vipi. Sasa mmejidai kuingia kupika wakati hata jiko hamjui kuwasha je chakula kitaliwa kweli hapo au magumashi. Mnajidhalilisha rudini kwa Nape awape ushauri.
 
Back
Top Bottom