USTAADHI
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 1,516
- 136
Hii si hoja mkuu! Chama pekee kilichoanza kwa kishindo nchini ni NCCR mageuzi ya Mrema wengine wote hawakuanza kwa kupata wapenzi na wafuasi kama unavyodhani. Kumbuka hata hawa unaowaonesha kwenye picha wamemeguka toka upinzani hivyo ni hasara kupoteza.
nakubaliana na wewe ila kukua kwa chama cha upinzani inategemeana na jinsi kinavyodeal na serikali si kudeal na chadema