Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Mamilioni ya wapenzi wa ACT- Mkutano wa Morogoro

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
855
Reaction score
1,224
Chama cha ACT- Tanzania ( Muungano wa Wasaliti na Wachumia Tumbo) maarufu kama Tawi la Lumumba Leo wamefanya Mkutano Morogoro ambao ulihudhuriwa na mamilioni ya wApenzi na wanachama. Hii ndio picha ya Mkutano wao


attachment.php
 

Attachments

  • 1405802959531.jpg
    1405802959531.jpg
    46.9 KB · Views: 4,832
Duuu hao ni uongozi mzima Wa Chadema ubungo. Temeke. Mwandiga na tabora magaribi
 
Mleta uzushi/mada, Umechakachua picha,umeumbuka..ukweli ni huu hapa
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    126.6 KB · Views: 229
Act ndio tumaini jipya la kweli la watz
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    52.4 KB · Views: 177
Chama cha ACT- Tanzania ( Muungano wa Wasaliti na Wachumia Tumbo) maarufu kama Tawi la Lumumba Leo wamefanya Mkutano Morogoro ambao ulihudhuriwa na mamilioni ya wApenzi na wanachama. Hii ndio picha ya Mkutano wao


attachment.php

Nawapongeza sana sana kwa kuvuta umati huu mkubwa hapo Fire Morogoro.
 
Hahahahahah lol!!!! Mamilioni kwa baadhi ya Watanzania ni namba yenye idadi ya watu kama inavyoonekana hapo juu. Chama cha wahaini kinakuwa kwa kasi ya kutisha.
 
VIONGOZI WA CHADEMA MKOA WA TABORA WATIMKIA ACT
Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Tabora ajiunga na ACT
Katibu wa chadema mkoa wa tabora athman khalfan balozi amebwaga manyanga na kujiunga na chama cha ACT kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho uliohudhuriwa na mamilioni ya watu leo hii.
source: mtu wangu wa katibu aliyekuwepo kwenye mkutano
 
Walizani kuhama chama katika siasa ni sawa na kuacha mke na kuoa mwingine;subiri uone wasaliti watavyo umbuka
 
mnawadhihaki ACT kwa chadema ilivyoanza ilikuwa kama hivyo au mlikuwa hamjazaliwa
 
Hiyo ni photoshop!

Mkiambiwa ni chama maarafu mitandaoni hamuelewi. Potezeni muda na fedha za wajinga. TZ kuna vyama 6 tu navyo ni CDM,CCM,CUF,NCCR,TLP na UDP vingine wapiga kelele mitandaoni.
 
Back
Top Bottom