Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

binafsi naomba niweke wazi huyu jamaa mimi sio mpiga kura wake!
lakini kwa tetesi zilivyo ndani ya chama chake hakuna wa kumzuia na kibaya zaidi tumebaki wapinzani kuzungumzia huyu jamaa hafai ccm haifai lakini bado sijaona nani atasimama na huyu mtu ikiwa wadanganyika tushazoea kuuza utu wetu kwa fedha! hii ni hatari sana!
jamaa amejipanga na kunatetesi watu wa kaskazini haijalishi wanatoka chama gani ilimradi anatoka huko wengi wako tayari kummunga mkono
sasa sijui wana siasa wanatupeleka wapi wameamua kabisa kwa roho moja kupeleka gari letu mtaloni.

Mi mwenyewe kura yangu hapati. Kwa mtu anayetumia akili yake vizur kwa matumiz anayotumia kununua wapiga kura lazima upate shaka. Lkn watz tulivyo wavivu kufikiri hilo hatulioni eti ni mchapakazi, mchapakazi amekuwa sokoine huyu? Mchapakazi au mchapa mabilioni?
 
We ni mbumbumbu kichwan. possiblely hata drs la kwanza hujaingia.hizo buku7 za lumumba zina kusumbua

Jibu hoja sio unakimbilia tu eti wewe mbumbu we uliyesoma umefanya nini mburu kenge we hata ukipenda vipi ukweli umeisha dhahiri Poleni la kuvunda halina ubani
 
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanaokuja JF wanafikiri hili ni jukwaa la watu wajinga na wanafanya makosa makubwa sana. Asilimia kubwa ya watu wanaokuja hapa wanajua nini kinaendelea maana wengine ni watunga sera, wanasheria, watumishi wa ikulu n.k. Hakuna mtu anayeweza kukubali upuuzi kama huu.
"No research, no right to speak"
 
Anakura yangu na ukoo wangu wote..hakuna kiongozi aliyebaki kama yeye..Tusimamee
 
Kuna watu wanadhani hii mada nimeileta kishabiki bila utafit na wengine kuhoji elimu yangu. Mara nying msomi hawez kuwa na mawazo dhaifu ya kuhoji mtoa mada au mchangia hoja ana elimu gani, na ndio maana vitabu vingi vinavyoandikwa na wasomi hutakuta baada ya jina la mwandishi aandike yeye ni profesa au dk. ndo uamini yale aliyoyaandika. Kuna aina nyingi za ushahidi ukiwemo wa kimazingira na mada hii au utata wa pande hizo unathibitishwa kimazingira kwanza. Hii ni kwasababu mipango michafu huwa haisaniwi kwa mikataba ya kuitwa waandishi. kikubwa wanajamvi msiukimbie ukweli. Pokea taarifa mpya endeleza uchunguzi kisha fanya maamuzi sahihi. KUMBUKA TANZANIA TUITAKAYO HAIWEZI KULETWA NA MAFISADI WALEWALE KWA POROJO ZILEZILE. matokeo ya uongozi uliopo sasa huwezi kuyatenganisha na lowasa. Tusijifanye vipofu kwenye zaidi ya bilioni 200 za RICHMOND na bilioni 133 za EPPA.
 
Tatizo kubwa ni kwamba watu wengi wanaokuja JF wanafikiri hili ni jukwaa la watu wajinga na wanafanya makosa makubwa sana. Asilimia kubwa ya watu wanaokuja hapa wanajua nini kinaendelea maana wengine ni watunga sera, wanasheria, watumishi wa ikulu n.k. Hakuna mtu anayeweza kukubali upuuzi kama huu.
"No research, no right to speak"
So unataka mpaka uambiwe utafiti umefanywa na profesa au nani ndo uone kama ni utafiti. Being critical is not about running from new knowledge, it's about taking it, analysing it critically searching where you can apply it and finally applying it when there is a place for it or dumping it if there's no room for it.
 
Katika kile kinachoonekana kujihakikishia Urais 2015
aliyewahi kuwa waziri mkuu (sio waziri mkuu mstaafu
kwani uwaziri sio nafasi ya kuajiriwa na kisha kustaafu)
ndugu Lowasa ameanza ama anaendeleza kazi ya
kuwamgia mamilioni viongoz wakuu wa chadema
katika kumsafishia njia. Najua suala hili litashtusha
wengi lakini ndio uhalisia kwani tangia mwaka 2010
viongozi wa kitaifa wa CHADEMA wamebakia
kuwaandama viongozi wengine wa CCM huku
wakifumbia madudu na uchafu anaoendelea kuufanya
Lowasa kama kwamba hawaoni hadi hatua ya
wanachama na wapenzi kuanza kuhoji kwa nn Lowasa
hazungumziwi? ambapo majibu rahisi na yasiyo na
mshiko kutoka kwa viongozi wa chama ni kwamba
Lowasa kwa kuwa atapishwa na CCM mwaka 2015
kugombea urais sio sawa kumzungumzia kwa sasa
kwani kutampa mwanya wa kujisafisha katika kashfa
zake na hivo kukosa hoja za kumchafua kwa wananchi
kama ilivyo kawaida ya siasa za Tanzania ili upendwe
unatengeza fitina mwenzio achukiwe. ukweli ni
kwamba Lowasa amekuwa akiwapa mamilioni viongozi
hao ili kuwadhoofisha wapinzani wake na hatimaye
kujihakikishia kupitishwa na chama chake kugombea
uraisi.

Lowasa Na Zitto Kabwe.

kuna taarifa za chinichini kuwa kufukuzwa kwa Zitto
kabwe pia kuna mkono wa Lowasa amabaye ni mmoja
wa vigogo walioficha pesa nje na hivyo kama njia ya
kudhoofisha mjadala wa pesa hizo kurudishwa ni
kumuudhofisha mtoa mada na hivyo Lowasa alimwaga
pesa zilizotumika kushawishi wajumbe wa kamati kuu
ya CHADEMA kumuondoa Zitto na kufanikisha mikutano
nchi nzima ya kuweka upepo sawa kujinuru na kifo cha
mpasuko wa chama.

CHADEMA WAANZA KUMPIGIA KAMPENI LOWASA.

Hivi karibuni licha ya kutokuzungumzia rushwa za
kutisha ambazo lowasa anazitoa, viongozi wa chadema
wameanza kumpigia debe kiaina lowasa kwa kuueleza
umma kwamba anachotoa lowasa ni misaada na
isiwafanye wamuunge mkono. Chadema wanasema
wananchi wamuunge mkono lowasa kama ataamua
kugombea kupitia chama kingine ambacho si CCM na
kwa maana hii Chadema wako tayari kumpokea mtu
huyu ambaye miaka mitatu minne iliyopita
walimandama kwa kumwita FISADI wa Richmond na
mengine mengi. Ama kweli PESA SABUNI YA ROHO!!!!!!
katika operesheni ya chadema ya sasa Lowasa
ananadiwa LIVE na ukitaka ushahidi wa wazi rejea
gazeti la leo la mwananchi 24/01/2014 "CHADEMA:
BODABODA ACHANENI NA LOWASSA" Ambapo chadema
kinadai "MUNAWEZA KUMUUNGA MKONO KAMA
AKIACHANA NA CCM NA KUAMUA KWENDA CHAMA
KINGINE".
Hakuna kama pesa, hakuna kama rushwa, tuna safari
ndefu sana kupata upinzani wa kweli na kupata
viongozi sahihi. ninchojiuliza ni Haya mamilioni
yanayopelekwa chadema na sehemu nyingine
yatarudishwaje? na hizi hasira na usongo wa uraisi
anaoukimbilia lowasa akipita nini kitajr?
 
Ndoto nyingine zingekuwa za kweli, huu ulimwengu ungekuwa wa ajabu kweli!
 
Hata ndefu ni mzigo.....
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    42.6 KB · Views: 187
  • image.jpg
    image.jpg
    9.4 KB · Views: 793
Hizi riwaya zako kama za NGOSWE wakati anapiga sound pale mtoni..tumechoka na mistari ya magamba.
 
Moto wa chopa tatu umekuwa mkali mno, magamba na mizigo wanaungua mpaka wanalia vilio vya kenge kama hivi!
 
Mh lowasa anakubalika sana Tanzania nzima,mimi nipo chadema licha ya kwamba kuna viongozi wazuri kama dr slaa LAKINI Mh Lowasa ni kiongozi mzuri zaidi na zaidi,KUMBUKA mwanzoni mwa miaka2006 hadi 2007 kasi aliokuwa nayo mh lowasa ya maendeleo leo tungekuwa wapi,.....? jibu ni mbali sana naamini hata mh rais anajua hilo kuwa mh lowasa ni mchapakazi sana,alikuwa akisimama kuongea watu wote kimya jamaa alikuwa ni mtu wa maamzi maguni binafsi sijaona kama lowasa badooooo!

chadema hatuna mizigo kama wewe,kwetu lowasa ni fisadi,mtoa rushwa mkubwa na hafai hata kuwa balozi wa nyumba kumi!!! hatuna time nae tunamsubiri ajae kwenye 18 zetu moto wa m4c umuwakie
 
Nimeshindwa kuelewa kama kichwa chako ni kizima au unahitaji kwenda mirembe. Pia nimeshindwa kufahamu kama kichwa chako kina connection na mikono iliyoandika ulichoandika.

Hivi kweli kwa akili yako timamu kabisa kama umemshindwa Lowasa kwa hoja acha kutafuta kujenga majungu. Ukweli wa tuhumua za Lowasa unajulikana vizuri sana. Waulize wana CCM hoja ya kuvua gamba ilizikwa kwa sababu gani. Kwa kuwa mwanzoni mlimwita Lowasa kuwa gamba ila ukweli unajulikana sana kuwa gamba namba moja ni nani. Hata mwenyekiti wa CCM anajua wazi kuwa kilichompata Lowasa ni ajali ya kisiasa. Ukitaka utetezi wa Lowasa uwekwe wazi hakuna usalama CCM rafiki. Ni bora ukatafuta njia nyingine. Hii unayotaka kuitumia ni janga kwa CCM .
 
Kwa CCM hakuna Mgombea Makini kama Lowasa.Kuhusu Wizi wa Richmond,Mbona hakuna Msafi CCM?Au mnataka kumtenga Lowasa kwa sababu ya Ukaskazini na Ukrtisto wake?.Dhambi ya Ubaguzi itaitafuna sana CCM.
 
Back
Top Bottom