Ndevu Chafu
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 267
- 32
Jana kuna mzee nilikua NAE alinipa mengi sana ikiwa ni pamoja maandishi alio yaacha mwalimu kua nchi inapendeza sana ikiwa inaongozwa na kijana kwan hata mimi niliingia kama kijana maneno machache yalio nukuliwa na mwalimu pia mengi tuliyaona kwa marehemu mwalimu sasa jaman vijana ni fursa kwetu kupata the another mwalimu janaury makamba