Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

Mamilioni ya Lowassa yaingia CHADEMA

hakuna cha lowasa wala slaa 2015 ni mda wa vijana. Tutamtupia makamba j magogoni nyi angaiken na vikongwe tu
Namshukuru cnaa jk amefanya urais kuwa kitu cha kila MTU hata asiye name sifa yoyote ilimradi miaka kidogo anaweza kuwa raisi...poor ccm!!!!
 
zitto kama anajua lowassa kaficha pesa uswiss kwanini asimtaje?,nyie ongeen yeye lowassa anachanja mbuga tu ,lakini akifika 18 za CHADEMA, LOWASSA KAFA
 
We ni mbumbumbu kichwan. possiblely hata drs la kwanza hujaingia.hizo buku7 za lumumba zina kusumbua

wewe uliyeandika hii habari umetumwa na majangili/mafisadi ya ccm. Utafiti unaeleza kuwa ifikapo mwakani 2015 Tanzania haita kuwa na mnyama Tembo. Tembo watakuwa wamefutika tanzania je wewe uliyeandika hayo hapo juu kisa umeahidiwa posho Lumumba office za mafisadi/magamba/mizigo/micago/ukurutu/wezi/maEPA/Maridhmond/Meremeta/
kagoda/marada/vijisent/buzwagi/bulyankulu/gas(CCM). Waonee huruma ndugu zako mama,baba,dada,mjukuu,kaka,mjomba,shangazi watoto na watanzania wengine hivyo vi buku7 vinaisha leo tu nchi itabaki na watu wataendelea kuishi,kuwa mzalendo kula hiyo buku 7 yao kisha lalambele lakin sijui kama utaweza maana mpaka waone ulicho andika ndio ulipwe ujira wako 7000.
 
Kitu january makamba kina faa yaan. Ni kama barack obama tanzania tuna aubiria muda sasa hasa si vijana
 
lowasa ni mfanya biashara kama wafanya biashara wengine na ana kisu kikali,ukisema ni fisadi si mbaya ila toa ushahidi wa ufisadi wake,na kama kuna dhambi ya yeye kufagiliwa na chadema pia eleza ni kwa namna gani, na kama unasema ameficha pesa nje toa ushahidi.hayo ni mtizamo wako binafsi lowasa anafaa kuwa rais ila kwa kupitia mfumo tofauti na ccm.nitamuunga mikono miwili iwapo atapitia chama kingine.na kwa sasa anatakiwa kufanya utafiti wa ni wapi ataungwa mkono ccm au upinzani hasa chadema.
 
Hiyo ndio Plan F ya kutaka kukidhoofisha Chadema kwa propaganda ambazo hazina ushahidi??
 
Ma ccm yajiandae kwani niko karibu sana na huyu wise men lowasa
lazima warudishe nyumba za serikali na mahela yote mliyoiba harafu kashoo kama chilu
kule zambia
 
Katika kile kinachoonekana kujihakikishia Urais 2015 aliyewahi kuwa waziri mkuu (sio waziri mkuu mstaafu kwani uwaziri sio nafasi ya kuajiriwa na kisha kustaafu) ndugu Lowasa ameanza ama anaendeleza kazi ya kuwamgia mamilioni viongoz wakuu wa chadema katika kumsafishia njia.
Najua suala hili litashtusha wengi lakini ndio uhalisia kwani tangia mwaka 2010 viongozi wa kitaifa wa CHADEMA wamebakia kuwaandama viongozi wengine wa CCM huku wakifumbia madudu na uchafu anaoendelea kuufanya Lowasa kama kwamba hawaoni hadi hatua ya wanachama na wapenzi kuanza kuhoji kwa nn Lowasa hazungumziwi? ambapo majibu rahisi na yasiyo na mshiko kutoka kwa viongozi wa chama ni kwamba Lowasa kwa kuwa atapishwa na CCM mwaka 2015 kugombea urais sio sawa kumzungumzia kwa sasa kwani kutampa mwanya wa kujisafisha katika kashfa zake na hivo kukosa hoja za kumchafua kwa wananchi kama ilivyo kawaida ya siasa za Tanzania ili upendwe unatengeza fitina mwenzio achukiwe.
ukweli ni kwamba Lowasa amekuwa akiwapa mamilioni viongozi hao ili kuwadhoofisha wapinzani wake na hatimaye kujihakikishia kupitishwa na chama chake kugombea uraisi.

Lowasa na Zitto kabwe.
kuna taarifa za chinichini kuwa kufukuzwa kwa Zitto kabwe pia kuna mkono wa Lowasa amabaye ni mmoja wa vigogo walioficha pesa nje na hivyo kama njia ya kudhoofisha mjadala wa pesa hizo kurudishwa ni kumuudhofisha mtoa mada na hivyo Lowasa alimwaga pesa zilizotumika kushawishi wajumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kumuondoa Zitto na kufanikisha mikutano nchi nzima ya kuweka upepo sawa kujinuru na kifo cha mpasuko wa chama.

CHADEMA WAANZA KUMPIGIA KAMPENI LOWASA.
Hivi karibuni licha ya kutokuzungumzia rushwa za kutisha ambazo lowasa anazitoa, viongozi wa chadema wameanza kumpigia debe kiaina lowasa kwa kuueleza umma kwamba anachotoa lowasa ni misaada na isiwafanye wamuunge mkono. Chadema wanasema wananchi wamuunge mkono lowasa kama ataamua kugombea kupitia chama kingine ambacho si CCM na kwa maana hii Chadema wako tayari kumpokea mtu huyu ambaye miaka mitatu minne iliyopita walimandama kwa kumwita FISADI wa Richmond na mengine mengi. Ama kweli PESA SABUNI YA ROHO!!!!!!
katika operesheni ya chadema ya sasa Lowasa ananadiwa LIVE na ukitaka ushahidi wa wazi rejea gazeti la leo la mwananchi 24/01/2014 "CHADEMA: BODABODA ACHANENI NA LOWASSA" Ambapo chadema kinadai "MUNAWEZA KUMUUNGA MKONO KAMA AKIACHANA NA CCM NA KUAMUA KWENDA CHAMA KINGINE".
Hakuna kama pesa, hakuna kama rushwa, tuna safari ndefu sana kupata upinzani wa kweli na kupata viongozi sahihi. ninchojiuliza ni Haya mamilioni yanayopelekwa chadema na sehemu nyingine yatarudishwaje? na hizi hasira na usongo wa uraisi anaoukimbilia lowasa akipita nini kitajr?

Bits haziendani na wimbo wako. Wimbo hauchezeki, nenda tena studio kaandae album nyingine.
Pole!!""
 
cdm uongea k2 chenye ushaid cio kwamba wanakurupuka alafu cdm hawawez kudr na m2 mmja wana dir na maccm wote xubr kama maccm watamptsha el atakiona cha moto pia cdm na el gamba sugu n mbal mbal
 
Mpendwa Cathe,Kwa mtiririko huu wa kufikirika alioshusha hapa huyu ni limbukeni tu na huo u~great thinker hanao.

Mkuu ndio maana ile neno great thinker nimeliwekea inveteted coma then italic, hana lolote kichwa maji tu yule
 
Lema kila akipanda kwenye majukwaa lazima amchane LOWASA, CJUI HAPO UNASEMAJE AU NDO PRO-MEMBE PLUS SITTA
 
Nashitushwa sana na watu wanao amin kua kowasa anaweza kuongoza taifa hili ki ukweli watanzania ni wanafik sana yule mtu sio wa kumpa dhaman ile kubwa tena tumuchae aende chadema ambayo imaenza kufa huko lowasa ndo atapotelea kabisa
kabla hakujakucha jogoo atawika mara tatu na utajutia uliyoyasema.
 
nawe umepewa black bell au nokia usher? Acha komed tz c ya kzembe kias iko ad january labd awe wa ccm2

hakuna black bell wala nokia asha wala bunda kotu january makamba kina faaaa. Chaguo la vijana wazalendo na nchi
 
hatuwezi kujadili udaku,nadhani lumumba fc ndo mahala pake pelekeni huko!

m4c pamoja daima ndio habari ya mujini!Ova.
 
mi nilishangaa sana kusikia chopa 3 zinachanja mawingu, nikatafakari dhumuni la kazi yenyewe ni kuhusu katiba mpya, nikajiuliza hii pesa imetoka wapi wakati pesa ya kuita baraza kuu tu imekosekana!
Kumbe walichukua kwa mzee wa Monduli ili wammalize jamaa wa leka dutigite! ili asiendeleze ukwas wake wa kuchunguza nyumba za watu dubai na Account ya mjomba huko jersay!
 
Mpe tu...nasikia anatumia ma.------ pia...kama unampa kura kwanini usimoe ma.------ bana.
hahahahah🙂 kumbe umeshatumiwa kiundani kabisaaaaaaaaaaa, hahahahaha mpaka unaanza kuropoka hadharani??? pole sana.kwangu ni kura tuuuuuuuuuu mchezo utaendelea kufanyiwa wewe. pole kwa hilo tukio najua ni ngumu kusahau na pia ni ngumu kuacha.
 
Back
Top Bottom