inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 17,968
- 18,268
china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombeAmini usiamini,China na Russia waandamanaji watazimwa kwa kuteswa sana na wengi watapotezwa!
china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
August 6th Hong Kong supporter(hao wanaharakati wa maandamano) akina Joshua Wong Ching na wenzake wakiwa na director of the political section of the Us, Julie Eadeh walionekana wakifanya kikao cha siri Hong Kong na baadae Macao. China imeshanyaka na picha wameionyesha ya kikao walichofanya.china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
Yatakuwa ya Tiammeng mwaka 1989....
NASIKIA NDIO YANACHOCHEA HUKO MAANDAMANO😂😂
August 6th Hong Kong supporter(hao wanaharakati wa maandamano) akina Joshua Wong Ching na wenzake wakiwa na director of the political section of the Us, Julie Eadeh walionekana wakifanya kikao cha siri Hong Kong na baadae Macao. China imeshanyaka na picha wameionyesha ya kikao walichofanya.
May 16th, Mike Pompeo na Nancy Pelosi nao walifanya kikao na opposition parties wa Hong Kong ambao ni Martin Lee Chu-ming, Lee Cheuk Yan na Nathan Law Kwung.
Julai 9, Jimmy Lai Chee-Ying ambaye ni Hong Kong entrepreneur alikutana na Us vice president Mike Pence. Jimmy naye mkono wake umeonekana upo kwenye kufadhili maandamano ya vurugu HK.
Na kuna picha zinaonyesha raia wa kizungu akiwa naye amevaa mask akiwa pamoja na waandamanaji. Picha nyengine zinamuonyesha akiwa anatoa maelezo kwa waandamanaji aliyoandamana nao. Picha nyengine zinamuonyesha akifanya vurugu pamoja na waandamanaji wengine. Picha yake kamili imeshapatikana.
Kuna clip moja inaonyesha waandamanaji waliyoingia uwanja wa ndege wa HK na kuzuia safari inaonyesha baadhi wa protesters wakiwa wanapeperusha bendera za Uk na US. Clip nyengine inaonyesha wakitupa bendera ya nchi yao ya China kwenye maji. Hiyo hali imeleta tafrani uwanja wa ndege. Raia wengine wa HK wameingilia kati na kuwapora waandamanaji bendera za Uk na za Us na kuzua vurugu.
Wamewaambia hata kama mnafanya maandamano ya kuhusu Demokrasia na Uhuru ila ni upumbavu kutupa bendera za nchi yenu chini na kubeba bendera za nchi nyengine ndani ya nchi yenu.
Big Brother atakachowafanya hawa vijana wa HK waliyonunuliwa na west wataenda kufanywa mbolea sehemu zenye jangwa huko China. Ila vijana wa HK ni wajinga sana. Kuna clip moja wanahojiwa na raia wa kigeni kwenye hayo maandamano hawajui hata wanachoandamana ni nini, wanatumiwa kisiasa pasipo kujielewa.
Ndiyo mawazo ya CCM B, kuteka, kupoteza pyu na kuuaPutin yeye hudunga sindano za ukimwi waandamanaji vihere here
Hawa siyo waandamanaji.
Kama kuandamana waandamane lakini kuzuia uwanja wa ndege watu kutoka mataifa mbalimbali wasisafiri mpaka safari zote zinafutwa huo ni ujinga.
Wanavamia vituo vya polisi wanavunja vioo vya majengo ya polisi kwa kuyarushia mayai na polisi wanawazuia kwa utaratibu tu wao wanaleta fujo.
Kuna clip raia wa Aussie anavyoongea nao kwa hoja hao vijana wa HongKong wanaoandamana uwanja wa ndege, masikini ya Mungu! Vijana wa HongKong hawajui hata wanachopigania.
Ndiyo mawazo ya CCM B, kuteka, kupoteza pyu na kuua
Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.
Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.
Yale Ni maandamano yakupangwa kwa ustadi mkubwa, muandamanaji hajui hata anachokiamandamania, jeshi la China linaelekea huko mi na wewe tutakuwa mashahidi watakachokipata waandamanajichina wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
Kisichokufaa kitawafaa wengine.Bila picha na hizo Clip tofauti yako na CCM n nini?
Kwa nini unauliza hivyo?Wewe ni mchina?
Kuwa tusiende huko Hong Kong tunaweza jikuta tumenyongwa kimya kimyaHivi habari kama hizi zinatusaidiaje
How ?Wachina teketeke rojorojo waliozoea na kuambukizwa utepe wa Waingereza.
Ila huyu jamaa kakomaa aisee,Hana wasiwasi Msela wake Bashar atamsaidia!View attachment 1180585
Kama haina maana kwako na ukaendelea kuisoma ni kimbelembele chako tuHivi habari kama hizi zinatusaidiaje