Mamia ya Polisi toka China bara waelekea Kisiwani Hong Kong kuzima maandamo.

china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
August 6th Hong Kong supporter(hao wanaharakati wa maandamano) akina Joshua Wong Ching na wenzake wakiwa na director of the political section of the Us, Julie Eadeh walionekana wakifanya kikao cha siri Hong Kong na baadae Macao. China imeshanyaka na picha wameionyesha ya kikao walichofanya.

May 16th, Mike Pompeo na Nancy Pelosi nao walifanya kikao na opposition parties wa Hong Kong ambao ni Martin Lee Chu-ming, Lee Cheuk Yan na Nathan Law Kwung.

Julai 9, Jimmy Lai Chee-Ying ambaye ni Hong Kong entrepreneur alikutana na Us vice president Mike Pence. Jimmy naye mkono wake umeonekana upo kwenye kufadhili maandamano ya vurugu HK.

Na kuna picha zinaonyesha raia wa kizungu akiwa naye amevaa mask akiwa pamoja na waandamanaji. Picha nyengine zinamuonyesha akiwa anatoa maelezo kwa waandamanaji aliyoandamana nao. Picha nyengine zinamuonyesha akifanya vurugu pamoja na waandamanaji wengine. Picha yake kamili imeshapatikana.

Kuna clip moja inaonyesha waandamanaji waliyoingia uwanja wa ndege wa HK na kuzuia safari inaonyesha baadhi wa protesters wakiwa wanapeperusha bendera za Uk na US. Clip nyengine inaonyesha wakitupa bendera ya nchi yao ya China kwenye maji. Hiyo hali imeleta tafrani uwanja wa ndege. Raia wengine wa HK wameingilia kati na kuwapora waandamanaji bendera za Uk na za Us na kuzua vurugu.

Wamewaambia hata kama mnafanya maandamano ya kuhusu Demokrasia na Uhuru ila ni upumbavu kutupa bendera za nchi yenu chini na kubeba bendera za nchi nyengine ndani ya nchi yenu.

Big Brother atakachowafanya hawa vijana wa HK waliyonunuliwa na west wataenda kufanywa mbolea sehemu zenye jangwa huko China. Ila vijana wa HK ni wajinga sana. Kuna clip moja wanahojiwa na raia wa kigeni kwenye hayo maandamano hawajui hata wanachoandamana ni nini, wanatumiwa kisiasa pasipo kujielewa.
 
NASIKIA NDIO YANACHOCHEA HUKO MAANDAMANO:D:D😂😂

intelijensia kali ya uchina ilifanikiwa kufanya counter espionage nakumdaka CIA agent anae washawishi viongozi wa maandamano. Too bad wamepublish jina lake, la familia yake including watoto wake na shule wanayo soma. Mpaka hapo movie hii imeisha isha, soon public will turn against rioters just a matter of days..

1565750684276.png
 
August 6th Hong Kong supporter(hao wanaharakati wa maandamano) akina Joshua Wong Ching na wenzake wakiwa na director of the political section of the Us, Julie Eadeh walionekana wakifanya kikao cha siri Hong Kong na baadae Macao. China imeshanyaka na picha wameionyesha ya kikao walichofanya.

May 16th, Mike Pompeo na Nancy Pelosi nao walifanya kikao na opposition parties wa Hong Kong ambao ni Martin Lee Chu-ming, Lee Cheuk Yan na Nathan Law Kwung.

Julai 9, Jimmy Lai Chee-Ying ambaye ni Hong Kong entrepreneur alikutana na Us vice president Mike Pence. Jimmy naye mkono wake umeonekana upo kwenye kufadhili maandamano ya vurugu HK.

Na kuna picha zinaonyesha raia wa kizungu akiwa naye amevaa mask akiwa pamoja na waandamanaji. Picha nyengine zinamuonyesha akiwa anatoa maelezo kwa waandamanaji aliyoandamana nao. Picha nyengine zinamuonyesha akifanya vurugu pamoja na waandamanaji wengine. Picha yake kamili imeshapatikana.

Kuna clip moja inaonyesha waandamanaji waliyoingia uwanja wa ndege wa HK na kuzuia safari inaonyesha baadhi wa protesters wakiwa wanapeperusha bendera za Uk na US. Clip nyengine inaonyesha wakitupa bendera ya nchi yao ya China kwenye maji. Hiyo hali imeleta tafrani uwanja wa ndege. Raia wengine wa HK wameingilia kati na kuwapora waandamanaji bendera za Uk na za Us na kuzua vurugu.

Wamewaambia hata kama mnafanya maandamano ya kuhusu Demokrasia na Uhuru ila ni upumbavu kutupa bendera za nchi yenu chini na kubeba bendera za nchi nyengine ndani ya nchi yenu.

Big Brother atakachowafanya hawa vijana wa HK waliyonunuliwa na west wataenda kufanywa mbolea sehemu zenye jangwa huko China. Ila vijana wa HK ni wajinga sana. Kuna clip moja wanahojiwa na raia wa kigeni kwenye hayo maandamano hawajui hata wanachoandamana ni nini, wanatumiwa kisiasa pasipo kujielewa.

Bila picha na hizo Clip tofauti yako na CCM n nini?
 
Wewe ni mchina?
Hawa siyo waandamanaji.

Kama kuandamana waandamane lakini kuzuia uwanja wa ndege watu kutoka mataifa mbalimbali wasisafiri mpaka safari zote zinafutwa huo ni ujinga.

Wanavamia vituo vya polisi wanavunja vioo vya majengo ya polisi kwa kuyarushia mayai na polisi wanawazuia kwa utaratibu tu wao wanaleta fujo.

Kuna clip raia wa Aussie anavyoongea nao kwa hoja hao vijana wa HongKong wanaoandamana uwanja wa ndege, masikini ya Mungu! Vijana wa HongKong hawajui hata wanachopigania.
 
Mamia ya magari ya kivita yakiwa yamebeba mamia ya Askari wa kutuliza ghasia toka China Bara yameshudiwa yakielekea kisiwa cha Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.

Ikumbukwe Mamlaka za China zimepata kukemea mara kwa mara uingiliaji wa mataifa hasa ya magharibi mgogoro ulipo huko Hong Kong.
Hong Kong ikitabiriwa yanaenda kuzima maandamo yaliyo sababishwa na mabeberu ya magharibi kwa maslahi yao binafsi.
 
china wametangaza kuna mipango ya ugaidi miongoni mwa waandamanaji,waandamanaji wengine wameamua kuondoka maana wanajua kinachofuata haponi ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadam,ffu wa china wanapiga ngumi bwana usiombe
Yale Ni maandamano yakupangwa kwa ustadi mkubwa, muandamanaji hajui hata anachokiamandamania, jeshi la China linaelekea huko mi na wewe tutakuwa mashahidi watakachokipata waandamanaji
 
Bila picha na hizo Clip tofauti yako na CCM n nini?
Kisichokufaa kitawafaa wengine.

Na mwenye kutafuta haki/usawa huwa hawi na chuki. Ijapokuwa CCM inayatendea nchi na raia mabaya lakini moyo uliyojaa haki hauongozani na chuki.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom