Mameneja watatu wa PPF wafukuzwa, eti ni wana JF!

Status
Not open for further replies.
Kama umeshindwa kupat copy ya barua zao, wewe taja tu majina yao na zilizokuwa kazi zao. Tutapata tu ukweli in very short time. Usipowataja, tutashindwa kuamini kuwa ni ukweli au Majungu. Ila kama ni Kweli, Elio una wakati mgumu.
 
Wana JF

Nimekuwa kila wakati kuwa PPF hakuna uongozi bali wapo wezi wa mali za umma.

Erio William Mkapa kajilipa 520 milioni isvyo halali, watu wamesema kaiba, sasa hilo ni kosa? Kalifanyia nini taifa hadi alipwe hela hizo zote wakati bado yupo kazini? Ana miaka 49 sasa wakati umri wa kustaafu ni miaka 55 kwa hiari na 60 kwa lazima.

Siku aliyolipwa Tshs 520 milioni, alilipwa pia malipo yafuatayo:

1.Gratuity 25% ya mishahara aliyofanyia kazi apprx Tshs 150 Milioni
2. Long service award mshahara mmoja Tshs 11 milion
3. Furniture allowance 40% ya mishahara 12 Tshs 75Milioni za kuanzia mkataba mpya.

Jumla alilipwa milioni karibu Tshs 756 milioni kabla ya kodi.

Hivi kama mtu mmoja analipwa pesa hii yote kwa miaka minne tu ya kuwa DG, PPF itapona kweli? Formular zitabadilishwa kweli kuwafaa wachangiaji wanaolipwa ELFU HAMSINI kwa mwezi, yaani LAKI SITA KWA MWAKA na Tshs 4,800,000 kwa hiyo miaka minne?

Tutaendelea kuweka mabaya ya uongozi wa PPF hapa mpaka umma uelewe na hata serikali nayo itafika wakati wataelewa na kuuondoa huu huu uongozi dhalimu, majizi, na WAZINZI WAKUBWA.

Mbaya zaidi anayoyafanya Mkurugenzi wa utawala ni sawa na yale ya Liumba wa BOT. Afya yake inatia shaka, halafu anashughulikia vitoto vidogo kweli hana hata huruma.

Narudi kulala, niliamka na kuikuta hii nyuzi nikashindwa uvumilivu.

Nina SIRI NZITO moyoni, kama ERIO William Mkapa hatawarudisha kazini na yeye kuachia ngazi nitaitoa Ijumaa.



Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii.

So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.
 
Nimekaa kuangalia kama PPF watagundua kosa kubwa walilolifanya kwa kuwatimua hawa lakini kwa vile wanaonekana hawatobadilika tunabakiwa na uchaguzi mmoja tu. Kuwajibu.
 
They have to prove aliiba au kuiuka jukumu lake PPF. Kama ni fake za serikali, this isn't the end ....full of ....
 
Wana JF

Narudi kulala, niliamka na kuikuta hii nyuzi nikashindwa uvumilivu.

Nina SIRI NZITO moyoni, kama ERIO William Mkapa hatawarudisha kazini na yeye kuachia ngazi nitaitoa Ijumaa.

Mkuu sexon2000, itoe sasa hiyo siri, hapa ni JF 'Where we Dare Talk Openly!'
 
Wana JF, habari hii sio ya uongo.

Mameneja waliofukuzwa kazi ni kwa kuambiwa ni wachangiaji wa JF ni:
  1. Siriel Mchembe- Meneja wa Michango
  2. Kedron Mbwilo- Meneja Kanda ya nyanda za juu kusini-Mbeya. Huyu ndiye Mhasibu Mkuu wa PPF aliyewagomea uizi wa mamilioni ya fedha za Group endowment mwaka 2008 ambapo kila mmoja aliiba MILIONI MIA MBILI.
  3. Emanuel Kakuyu- Meneja wa Kinondoni, Huyu ndiye aliyekaimu nafasi ya Mkurugenzi wa Utawala kwa mwaka mmoja akawa anamgomea William Erio kuajili visichana anavyofanya navyo mapenzi kwanza hata kama havina sifa.
CHARGES WALIZOAMBIWA NA KUFUKUZWA KAZI
  1. CHARGE 1-It has been proved that you were involved in posting abusive, defamatory, subversive, misleading comments in Jamii Forums website towards Board of Trustees, Management and other employees of the fund, and you have been discouraging potential members from joining the Fund, at the same time inciting members to riot and withdraw from the fund
  2. CHARGE 2-You have been disclosing to the public through Jamii Forums and news papers wrong financial and operational information of the Fund
  3. CHARGE 3-Through posting to the jamii Forums you incited PPF employees to organize a strike for the purpose of removing the management from power as well as causing unrest in the fund.
  4. Charge 4-INCOMPATIBILITY- whilst on duty your character, behavior and unbecoming actions through posting into Jamii forums indicates your unsuitability to work under the management you have been attacking.
Haya wa kuwasaidia na awasaidie na wa kutoa ushauri wa kisheria nao watoe.



ngoja kwanza.........
 
jf tunatumia mijana hewa......hawa jamaa wote walikuwa wantumia majina yao halali au vipi?..yaani mpaka wakagundulika kuwa wanapost commments!!!..sio bure kuna kitu hapa
 
Mkuu hizo nyaraka ziweke tu, kwa faida ya taifa letu, wanaJF na waliofukuzwa kazini. Ni vizuri kuziweka kwani jambazi siku zote ni mtu hatari sana.
 
Hukuelewa my point!
Sababu ya kufukuzwa haiwezi kuwa JF, kuna sababu nyingine.
Tupe evidence ya hiyo barua ya kufukuzwa kazi na iwe inastate kuwa so n so tunakufukuza kazi kwa sababu ya kutoa information JF

Kama msisitizo wako ni huo(nyekundu), basi point yako nimeielewa na nimeijibu kwa uhakika, kukubaliana na jibu hilo ni jambo jingine.
Penye bright green.....I hope you know the drills so dont grill. Penye Kijani, hayo maelezo yanasomeka vivyo hivyo.
 
Unajua unaweza ukawa hujawahi hata siku moja kuona bunduki kwa macho! lakini ukawa ni shujaa kuliko hata waliopigana vita vya Kagera!
 
Jamani kila siku nasema hawa watu ndo waliotufikisha hapa tulipo na ndo waliojaa huko chadema. Yaani tangia uhuru hawa ndo wezi wakuu wa nchi yetu. mimi nashauri tuache ushabiki wakichama na tuungani kuuondoa ufisadi huu. Sijasema nalichukia kabila bali nachukia kwa dhati matendo yao mengi maovu waliyotutendea tangia uhuru wa nchi hii.

So sad, sasa wameanza hata kuwafukuza wale wanaosema ukweli. Poleni mliokumbwa na mkasa huu. mungu awape subira lakini pia msiishie hapo, nendeni mbele zaidi kwenye vyombo vya sheria japokua hata huko wamejaa lakini ni bora kujari kuliko kuacha ipite hivi hivi.
We punguani koma kabisa kuropoka Ududu sasa kama huyo urio ndo katufikisha hapa kuna kina urio wangapi kwenye serikali hii jamani hivi hujaona kina rutashobya walivyojazana kwenye ofisi za umma. Tena kwa majina? Au hao kina Lowasa,msabaha,karamagi,chenge,rostam,Nmkono,
jeetu patel,ditopile,Ymanji,JK, BWM,As mwinyi. Kwa ujumla wao tuwaite tu ccm je kweli hao ni wachagga wote hao fikiria tena. Huu wa kwako umevuka kipimo cha upumbavu
 
Mkuu jamaa anaitwa William Erio, sio mchaga ni Mmakua kutoka kwa mzee Ce Mkapa infact ni mtoto wa Dada yake Mkapa na hilo jina la William lime dadavuliwa kutoka kwenye Benjamin William Mkapa

Mwambie huyo kiroboto mkabila nisaidie kumwuliza ama atutajie majina yao na hicho walichomwibia kunguni kabisa huyu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom