Naposikia mambo kama haya ya kijinga ya kiendelea kufanyika hasira zina nikaa kichwani.Watanzania tunangoja nini,nilini tutasimama kupigania maisha bora na utu wa mtanzania.kwanini vitendo kama hivi viendele kufanyika.Endelea kutujuza mkuu.kizazi kinachohitaji mapinduzi tupo tunakuja,kesho ni mbali tuko teyari kwaleo ili kesho iwe siku ya faraja.Wana JF
Nimekuwa kila wakati kuwa PPF hakuna uongozi bali wapo wezi wa mali za umma.
Erio William Mkapa kajilipa 520 milioni isvyo halali, watu wamesema kaiba, sasa hilo ni kosa? Kalifanyia nini taifa hadi alipwe hela hizo zote wakati bado yupo kazini? Ana miaka 49 sasa wakati umri wa kustaafu ni miaka 55 kwa hiari na 60 kwa lazima.
Siku aliyolipwa Tshs 520 milioni, alilipwa pia malipo yafuatayo:
1.Gratuity 25% ya mishahara aliyofanyia kazi apprx Tshs 150 Milioni
2. Long service award mshahara mmoja Tshs 11 milion
3. Furniture allowance 40% ya mishahara 12 Tshs 75Milioni za kuanzia mkataba mpya.
Jumla alilipwa milioni karibu Tshs 756 milioni kabla ya kodi.
Hivi kama mtu mmoja analipwa pesa hii yote kwa miaka minne tu ya kuwa DG, PPF itapona kweli? Formular zitabadilishwa kweli kuwafaa wachangiaji wanaolipwa ELFU HAMSINI kwa mwezi, yaani LAKI SITA KWA MWAKA na Tshs 4,800,000 kwa hiyo miaka minne?
Tutaendelea kuweka mabaya ya uongozi wa PPF hapa mpaka umma uelewe na hata serikali nayo itafika wakati wataelewa na kuuondoa huu huu uongozi dhalimu, majizi, na WAZINZI WAKUBWA.
Mbaya zaidi anayoyafanya Mkurugenzi wa utawala ni sawa na yale ya Liumba wa BOT. Afya yake inatia shaka, halafu anashughulikia vitoto vidogo kweli hana hata huruma.
Narudi kulala, niliamka na kuikuta hii nyuzi nikashindwa uvumilivu.
Nina SIRI NZITO moyoni, kama ERIO William Mkapa hatawarudisha kazini na yeye kuachia ngazi nitaitoa Ijumaa.
bado nasubiri majibu. Wali win kesi yao?
Tunaomba majina ya waathirika yawekwe hapa tafadhali. Leo hii nimeota hii topic kwenye Gazeti la 'Dira ya Mtanzania' yenye kichwa "Mamilioni ya PPF yafujwa na Wakubwa'. lakini nao hawakutaja majina. Inawezekana hii isiwe kweli ama?