aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,391
- 2,329
washindwe wenyewe tuHiki ndicho kipindi cha kuibeba hii ndoo aisee
washindwe wenyewe tuHiki ndicho kipindi cha kuibeba hii ndoo aisee
mc algeranaongoza mojaAnadaiwa goli tatu
Yah anacheza Confederationhuyu hayupo kabisa mwaka huu cafcl
wasiwe wabahiliwashindwe wenyewe tu
yesYah anacheza Confederation
Hao anocheza nao mechi ya mwanzo walishinda 2mc algeranaongoza moja
Hakika aisee,ndio muda wao wa kudeliver walichojaaliwawasiwe wabahili
wakijipanga wanafika nusu au fainali kama sio ubingwaHakika aisee,ndio muda wao wa kudeliver walichojaaliwa
2-0? dakika ya 60 inaenda MCA 1- jamaa 0Hao anocheza nao mechi ya mwanzo walishinda 2
Hata mimi nimeshangaaAfrica tuna upumbavu mwingi sana
Bingwa anaanziaje playoff
Hakika aiseee,mwaka huu inaonekana hali ni ngumu kwa wakongwe,wanatakiwa kulinda migongo yaowakijipanga wanafika nusu au fainali kama sio ubingwa
MCA Kapewa tuta, wamekosa tutaHao anocheza nao mechi ya mwanzo walishinda 2
Presure hiyo..Bado dakika 6..wamepata la 2MCA Kapewa tuta, wamekosa tuta
Hizi timu za africa wanazingua sana mara nyingi weka underAnatingisha meza yenye vinywaji vya gharama sana hukuView attachment 3697185
hapa sasa ndio utamjua mwarabu ,atashambulia kama nyuki, chuma ya tatuPresure hiyo..Bado dakika 6..wamepata la 2
Wamemaliza gamehapa sasa ndio utamjua mwarabu ,atashambulia kama nyuki, chuma ya tatu
mwaraabu anajua kuforce , ukitaka kumfunga mwarabu mshambulie usikae nyumaWamemaliza game