Mamelod Sundows hali tete

Mamelod Sundows hali tete

Mimi nilikuwa nawaambia watu kuwa Mamelody sio timu ya maana, kwa kipindi amekuwa aki struggles kupata matokeo.

Hata vitimu vidogo vya pale SA vimekuwa vinamkazia, sometimes anaweza kuwa yupo nyumbani na yeye ndio ana force sare.

Nilipoona tu Shahulie kasajiliwa Yanga sikushangaa kwasababu ya intense ya ligi yetu.

Shalulile kama hakuweza kupata namba kwenye kikosi kile cha Mamelody ambao ni watingisha sketi ilinipa maswali mengi sana.
 
Back
Top Bottom