Uchaguzi 2020 Mambosasa: Wagombea ubunge walioshindwa warudi majimboni mwao

Haya ni maandamano yasiyokuwa na kikomo....leo ndio siku ya kwanza, aluta continua hadi Oktoba 2025. Anayedhani ataweza kuyazima maandamano haya anajichosha bure. Bora kuanzisha njia za kidiplomasia ili kupunguza makali ya maandamano siku za usoni.
Tuma picha hapo ulipo tuone kama kweli umeandamana!
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Hii ni Aibu sasa mambo sasa anawapangia wapinzani pa kuishi ? ICC ifanyie kazi unyanyasaji huo ili iwe fundisho
 
Wanazidi kumuweka Beberu Amsterdam busy.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada hupiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu uonevu unyanyasaji uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
 
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Lazaro Mambosasa, amewataka wagombea ubunge kutoka mikoani walioshindwa katika uchaguzi, warudi majimboni mwao kwa sababu kitendo cha kukusanyika jijini humo ni uchokozi wa dhahiri kwa wakazi wa Jiji hilo.
Rubbish, kwani mtanzania anapangiwa pa kuishi?
 
Nchi ya ajabu sijawahi kuona, hata maandamano ya amani ambayo ni haki ya kikatiba yanazuiliwa
Aibu kubwa Polisiccm wameogopa vibaya mpaka wamekuwa vinara wa kuyatangaza hayo maandamano kuliko hata wapinzani wenyewe
 
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada hupiga magoti na kuwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu uonevu unyanyasaji uovu mateso ya CCM kwa wapinzani ndipo CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike
Kwakua Amsterdam ni mwanasheria wa Lissu, CCM wanamuita beberu.
 
CCM Mzungu yeyote anayekataa unyama udikiteta wao humwita Beberu utazani wao CCM ni mbuzi jike
Beberu ameiambia dunia yanayoendelea Tanzania sasa hivi mpaka bunge la Uingereza linajadili uchaguzi wa 2020 Tanzania.
 
Umeamini kuwa watu hawaitaji kuandamana?
Kitendo cha mbowe kukamatwa tu kilipaswa kuwa ndio kichochezi kikubwa cha watu kuandamana nchi nzima, lakini ndio kama unavyoona
Hizi ni Kejeli na haziwezi kwisha mpaka yatokee ya kutokea.
 
Naamini mshindi kapatikana kwenye Sanduku la kura,
Iliyobaki ni gesi kwenye kinywaji cha coca cola,
Maandamano wapi?
Ni yeye wapi?
Watanzania si wajinga wa kuletewa matusi kwenye kampeni na wakuchague.
 
Back
Top Bottom