Mambo yote mganda! acha kabisa hii ngoma

Nataka nilog out maana wasije nifanya nishindwe kulala bureee

Nimekuona muda mrefu sn ila nilikua namalizia kajambo Fulani Ndo nikujibu...!

Unanichokoza siku Hizi dada? Najua wapi ntakubania...! Siku shemeji akikudunda usije kwangu...!
 
Uwiiiii hadi umenibamba duh?Tatizo huku gamboshi kwetu ndio kwanza asubuhi.

Oleeee molaaa lakini?Ss hivi nikipata matatizo naenda kwa dada zangu wewe na mkeo mnanitangazaga sana aiseeee
 
Kaka unaoa kimyakimya bila hata karibu ya urongo? Shida nini Ntuzu? By the way umechukua yupi Khantwe au miss chagga? Nataka nianze kufanya screening ASAP
 
Last edited by a moderator:
Uwiiiii hadi umenibamba duh?Tatizo huku gamboshi kwetu ndio kwanza asubuhi.

Oleeee molaaa lakini?Ss hivi nikipata matatizo naenda kwa dada zangu wewe na mkeo mnanitangazaga sana aiseeee

Nkoi nale mwala sn ilomboye... Ila akakwelayo kasomaga somaga... Omele gwake gole na shida...!

Sikutangazi dada yangu tena..... We Njoo tu mkigombana na shemeji...!
 
Last edited by a moderator:
Wamenikera kitu kimoja wamevaa sox nyekundu ambazo pia hazifanani na mmoja hajavaa kabisa na wamevaa raba

Mganda wa ukweli ni mashati meupe yaliyopigwa Pasi vema, kaptula zinazoishia magotini nyeupe zilizokolea Pasi, sox safi ndefu nyeupe, neckties nyeusi, mikanda myeusi, na viatu nyeusi vya ngozi vilivyopigwa kiwi vikang'aa hasa, leso nyeupe mkononi na filimbi mdomoni vyote vikifanana kabisa inavutia mno

usengwile dadi.
 
Unacheza mganda baada ya hapo unaenda kuporomosha nsima na samaki anaitwa mbasa...kichwani lazima ufanane na Mtikila,lol
 
Wamenikera kitu kimoja wamevaa sox nyekundu ambazo pia hazifanani na mmoja hajavaa kabisa na wamevaa raba

Mganda wa ukweli ni mashati meupe yaliyopigwa Pasi vema, kaptula zinazoishia magotini nyeupe zilizokolea Pasi, sox safi ndefu nyeupe, neckties nyeusi, mikanda myeusi, na viatu nyeusi vya ngozi vilivyopigwa kiwi vikang'aa hasa, leso nyeupe mkononi na filimbi mdomoni vyote vikifanana kabisa inavutia mno

Hawa sio wale wenyewe kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom