Wamenikera kitu kimoja wamevaa sox nyekundu ambazo pia hazifanani na mmoja hajavaa kabisa na wamevaa raba
Mganda wa ukweli ni mashati meupe yaliyopigwa Pasi vema, kaptula zinazoishia magotini nyeupe zilizokolea Pasi, sox safi ndefu nyeupe, neckties nyeusi, mikanda myeusi, na viatu nyeusi vya ngozi vilivyopigwa kiwi vikang'aa hasa, leso nyeupe mkononi na filimbi mdomoni vyote vikifanana kabisa inavutia mno
![]()
Mshana, hii kitu sio mganda, ni Ling'oma ngoma ya wanyakyusa wa Mbeya.
hahaha ngoja waje